Nakubaliana na wewe mkuu.Huyo Ridhiwani ndiye mastermind wa kujiuzia viwanja vyote vilivyoko prime areas kwa kutumia wapambe wake. Hapo hakuna anachosingiziwa. Hayupo hapo wizarani bahati mbaya.
kwa taarifa yako Angelina Mabula ni mtu wa karibu kabisa na JK wakicheza basket ball pamojaNampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo.
Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule.
Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini.
Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya kupiga matukio.
Najua Ridhiwani ni mtu mwema tu, hana baya na mtu, muungwana tangu anasoma chuo kikuu. Majambazi ya ardhi yasimchafue
Kiukweli jina lake linatumika vibaya sana na linachafuka, wengi tumeanza kumchukia tunaporwa ardhi Kilosa na Mvomero kwa jina lake mchana kweupe na maofisa ardhi wanamtaja bila hofu kitu ambacho kinaashiria anabariki madudu na syndicate yakeNampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo.
Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule.
Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini.
Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya kupiga matukio.
Najua Ridhiwani ni mtu mwema tu, hana baya na mtu, muungwana tangu anasoma chuo kikuu. Majambazi ya ardhi yasimchafue
Huu upumbavu wa kusema eti majambazi yanamchafua kiongozi ni ujinga wa hali ya juu. Yeye anafanya kazi gani kama mpaka watu wamchafue? Huyu jamaa ni kiongozi hopeless kabisa na amepewa uongozi bila kuwa na uwezo.Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo.
Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule.
Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini.
Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya kupiga matukio.
Najua Ridhiwani ni mtu mwema tu, hana baya na mtu, muungwana tangu anasoma chuo kikuu. Majambazi ya ardhi yasimchafue
Japo neno de factor na de jure ni maneno ya kisheria kumaanisha kwa mujibu wa katiba na sheria, au sio kwa mujibu wa katiba na sheria, lakini matumizi yake ni kwenye serikali tuu na sio kwa watendaji!. Serikali zilzoingia madarakani kwa mujibu wa katiba ndio the jure, na zile zilizoingia madarakani kwa Mapinduzi ndio de factor, serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ilikuwa ni de factor mpaka mwaka 1975 ulipfanyika uchaguzi, sasa SMZ ni jina tuu ila serikali ni de jure!..Najua Ridhiwani ni mtu mwema tu, hana baya na mtu, muungwana tangu anasoma chuo kikuu. Majambazi ya ardhi yasimchafue
Amekaa kimya tu huwezi kumsikia akisema chochote!Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo.
Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule.
Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini.
Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya kupiga matukio.
Najua Ridhiwani ni mtu mwema tu, hana baya na mtu, muungwana tangu anasoma chuo kikuu. Majambazi ya ardhi yasimchafue
Prime areas ?! Money 💰 to 🧼 ! ! ?Huyo Ridhiwani ndiye mastermind wa kujiuzia viwanja vyote vilivyoko prime areas kwa kutumia wapambe wake. Hapo hakuna anachosingiziwa. Hayupo hapo wizarani bahati mbaya.
Na ndivyo ilivyo Nchi hii ! Unaweza ukamlaumu mkubwa fulani amefanya madudu fulani kumbe wapo watu wanatumia influence ya jina la huyo mkubwa kupata wanachokitaka bila kujali kuwa wanamchafulia jina mhusika ! Wengine wanafanya makusudi kumchafua na wengine wanafanya kwa masilahi yao !Sio kweli na huenda wameamua Kwa utashi wao kumchafua na kulitumia jina lake hivyo.
By the way mtu au kikundi Cha mtu anaporwa aridhi Kwa kutumia jina lake Kisha nae akae kimya Kuna two factors huenda Kuna kundi la watu lataka kumchonganisha na waziri mabula na sababu wanazo.
Ridhiwani ni smart na hawezi kuruhusu jambo Hilo litokee hasa nyakati hizi ninachojua wote walotumia jina lake wanatumia Kwa manufaa Yao pasi kujua na wanaofanya hivyo nao Wana sababu hizo.
Ni miongoni mwa vijana licha ya kua na umakini ila ukweli wengi hutumia jina lake kutaka kujinufaisha na yote ambayo yanatajwa huwa sio kweli na hata mzee wake hawezi kulikubali
Na watu wanasemaga uongo uongo ukisemwa sana bila kukanushwa unaonekana kama ni ukweli ! Anakosea kutowajibu !Amekaa kimya tu huwezi kumsikia akisema chochote!
Ukoo wao una influence kubwa Nchi hii hawezi akadhulumu mtu yeyote hilo nalipinga kabisa !! Hawana tabia hizo ! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni !!Hii nimeisikia Morogoro huko anadhulumu viwanja na mashamba ya watu, nikajua anasingiziwa. Ila sasa naanza kuamini ni kweli
Kama ni msafi kwanini maeneo pori karibu yote ya Chalinze yamenunuliwa na matajiri wa mafuta?Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo.
Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule.
Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini.
Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya kupiga matukio.
Najua Ridhiwani ni mtu mwema tu, hana baya na mtu, muungwana tangu anasoma chuo kikuu. Majambazi ya ardhi yasimchafue
Kwani yeye haoni na kusikia mpaka wewe umsemee?Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo.