Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Acheni huu utoto wa kutetea ujinga.Sio kweli na huenda wameamua Kwa utashi wao kumchafua na kulitumia jina lake hivyo.
By the way mtu au kikundi Cha mtu anaporwa aridhi Kwa kutumia jina lake Kisha nae akae kimya Kuna two factors huenda Kuna kundi la watu lataka kumchonganisha na waziri mabula na sababu wanazo.
Ridhiwani ni smart na hawezi kuruhusu jambo Hilo litokee hasa nyakati hizi ninachojua wote walotumia jina lake wanatumia Kwa manufaa Yao pasi kujua na wanaofanya hivyo nao Wana sababu hizo.
Ni miongoni mwa vijana licha ya kua na umakini ila ukweli wengi hutumia jina lake kutaka kujinufaisha na yote ambayo yanatajwa huwa sio kweli na hata mzee wake hawezi kulikubali
Yeye ni waziri husika anawezaje kukalia kimya huu ujinga? Subirini mwenyewe ajitetee