Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

Kuna waraka aliandika mtu huku jana ulioshiba hekima busara akili na maarifa hakika umenifumbua kiakili na kimwili sihitaji tena blaah blaaa za wanasihasa
 
Peti Man na Makonda enzi zao kabla ya Kuwaning'iniza

 
Kuna waraka aliandika mtu huku jana ulioshiba hekima busara akili na maarifa hakika umenifumbua kiakili na kimwili sihitaji tena blaah blaaa za wanasihasa
Weka link ya Uzi huo mkuu
 
Kwa wale walioangalia ziara ya Mh Rais jana uwanja wa ndege unaweza ukajua ni hasira gani alizonazo juu ya hii ya familia ya msoga, yaani ni majizi ya kutupwa eti uwanja uwanja unajengwa kwa bilioni 560 yaani gharama za madaraja matatu ya kigamboni...

Magu rais wetu usiwaonee huruma hii familia watumbue tu maana wamekuachia majanga makubwa wakati wao wameshapiga 10% zao

Ukicheka na nyani utavuna mabua mh rais
 
Hahaahaaa, ameona kkukaa kimya si jibu kaona atoke vipi, hongera hata changudoa akiwa mtaani mchana hupinga sana biashara ya uchangu ila ikifika night kali, hujiunga na wenzake.
 
Mkuu umewaza sawa na mimi...hapa kinachoonekana ni vita baina ya haya magenge..na isitoshe mzigo unaweza adimika baada ya washindani wao kuandamwa na bei ikapanda maradufu!
 
Umaskin na mawazo potofu unakuchanganya...
Usimsee mtu kama huna sababu maalum za kumshutumu na ushahid wa kujiridhisha..hata kama ungelikuwa bi weqe sidhan kama ungefurahia


Kwani huyo anayetaja watu anao ushahidi wa kutosha?
 
Umaskin na mawazo potofu unakuchanganya...
Usimsee mtu kama huna sababu maalum za kumshutumu na ushahid wa kujiridhisha..hata kama ungelikuwa bi weqe sidhan kama ungefurahia
Tumekaa karibu na familia za unga huyu dogo na mtoto wa mh.Fulani hv wa kambi ya upinzani ni mabwana wakubwa wa hii biashara,tunaweza kumwaga mboga hapa ila bora tunyamaze..with naked eyes tunawaona night wakitembeleana ah usitake tuchimbe deep ase,unafki wa hali ya juu wkt bestie ni H.
 
Yawezekana tumemnukuu vibaya Ndugu Ridhiwani JK, "Mapambano ndio kama yameanza.Tupambane pamoja." yaani Bunge na pamoja na Wachuuzi wa madawa ya kulevya pia Waanze kupambana na RC Paul Makonda kisha mshindi ajulikane. Kwa sababu ndio RC Makonda kataka Mapambano na Mapambano lazima yawe na mshindi!
 
Anayetaja majina anajifanya kama amemsahau halafu anaforce kutajwa mwenyewe,haya episode #3 coming soon..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…