Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

makonda-jpg.468718


Wapemba hujuana kwa vilemba...!​
Baada ya hapo na kumpa kipigo mzee warioba akapewa zawadi ya ukuu wa wilaya
 
Ni mwendelezo wa kupambana na MADAWA ya kulevya, ndugu Ridhiwani kikwete ameunga juhudi zinazofanywa na Paul makonda kutokomeza biashara haramu ya MADAWA ya kulevya. Ni wakati sasa wabunge wakaiga mfano wa huyu mbunge katika vita ya madawa ya kulevya. Pongezi kwako mheshimiwa kwa kuunga mkono juhudi Kali ya kupinga mihadarati

Jukumu la kutokomeza biashara hii ni la watanzania wote.
d14e1062c51e299f4e7806e18f8a6cdc.jpg

Je, Ridhiwani ni kweli anaunga mkono au anajisafisha tu kutokana na kutajwa kwake mara kwa mara kwenye madawa ya kulevya?.
54a31e1fb5eaf640d6eb4f00cb024f15.jpg
.
Tujadili pamoja. Karibu
Kuna waraka aliandika mtu huku jana ulioshiba hekima busara akili na maarifa hakika umenifumbua kiakili na kimwili sihitaji tena blaah blaaa za wanasihasa
 
Kuna waraka aliandika mtu huku jana ulioshiba hekima busara akili na maarifa hakika umenifumbua kiakili na kimwili sihitaji tena blaah blaaa za wanasihasa
Weka link ya Uzi huo mkuu
 
Kwa wale walioangalia ziara ya Mh Rais jana uwanja wa ndege unaweza ukajua ni hasira gani alizonazo juu ya hii ya familia ya msoga, yaani ni majizi ya kutupwa eti uwanja uwanja unajengwa kwa bilioni 560 yaani gharama za madaraja matatu ya kigamboni...

Magu rais wetu usiwaonee huruma hii familia watumbue tu maana wamekuachia majanga makubwa wakati wao wameshapiga 10% zao

Ukicheka na nyani utavuna mabua mh rais
 
Hahaahaaa, ameona kkukaa kimya si jibu kaona atoke vipi, hongera hata changudoa akiwa mtaani mchana hupinga sana biashara ya uchangu ila ikifika night kali, hujiunga na wenzake.
 
Ni juzi tu hapa Makonda alikuwa kibarua wa Riziwani na akaonekana anafunga kamba za viatu vya Riziwani. Riziwani ndio Godfather wa GSM, leo hii GSM ndio wanaomuweka mjini Makonda. Kwa uhusiano huu inaonyesha kuwa Makonda bado ni mtumishi wa Riziwani na kwamba huenda hata namna ambavyo watu wanatajwa ni kuiepusha network ya Riziwani na kutajwa lakini pia labda kuwaharibia wapinzani wao kibiashara ya unga
Mkuu umewaza sawa na mimi...hapa kinachoonekana ni vita baina ya haya magenge..na isitoshe mzigo unaweza adimika baada ya washindani wao kuandamwa na bei ikapanda maradufu!
 
Umaskin na mawazo potofu unakuchanganya...
Usimsee mtu kama huna sababu maalum za kumshutumu na ushahid wa kujiridhisha..hata kama ungelikuwa bi weqe sidhan kama ungefurahia


Kwani huyo anayetaja watu anao ushahidi wa kutosha?
 
Umaskin na mawazo potofu unakuchanganya...
Usimsee mtu kama huna sababu maalum za kumshutumu na ushahid wa kujiridhisha..hata kama ungelikuwa bi weqe sidhan kama ungefurahia
Tumekaa karibu na familia za unga huyu dogo na mtoto wa mh.Fulani hv wa kambi ya upinzani ni mabwana wakubwa wa hii biashara,tunaweza kumwaga mboga hapa ila bora tunyamaze..with naked eyes tunawaona night wakitembeleana ah usitake tuchimbe deep ase,unafki wa hali ya juu wkt bestie ni H.
 
Yawezekana tumemnukuu vibaya Ndugu Ridhiwani JK, "Mapambano ndio kama yameanza.Tupambane pamoja." yaani Bunge na pamoja na Wachuuzi wa madawa ya kulevya pia Waanze kupambana na RC Paul Makonda kisha mshindi ajulikane. Kwa sababu ndio RC Makonda kataka Mapambano na Mapambano lazima yawe na mshindi!
 
Anayetaja majina anajifanya kama amemsahau halafu anaforce kutajwa mwenyewe,haya episode #3 coming soon..
 
Back
Top Bottom