Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Kuna mtu ameiona hiyo list ya tatu au mnaenda kwa hisia tu. Mwenye hiyo list aweke hapa tuone ukweli kuwa yupo. Au mnadhani hiyo tume haina vyanzo vingine zaidi ya list ya Makonda kuwajua dealer wa unga

Sent from my TECNO-A7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo Chadema sasa mnaungana kusema kumbe Ridhiwan hauzi unga, mlikuwa mnamsingizia tu?
Mchango wako upo page ya kwanza tu na tena ndio wa mwisho kuifunga hiyo page, nimesoma mwanzo hadi kuufikia mchango wako is like sijaona sehemu yoyote ambayo kuna mtu (achilia mbali Chadema) aliyeonesha kumtetea the former prince, mwenzangu umeona wapi!?
 
Sasa Chadema inahusikaje na manung'uniko haya yaliyotamkwa na Ridhiwani?Ifike mahali muwe mnausema ukweli,si kila unapoguswa unakimbilia kuitaja chadema.Yani hata ukikalia kitu chenye ncha kali badala ya kumtaja mumeo anayekuumiza unaitaja chadema?
Chadema haiwezi wacha tajwa maana wakati JK ni rais tulikuwa na uzi humu kuwa alikwenda CHina kumtoa Rit baada ya kukamatwa na madawa nani mwandishi (.....) na watu kudiriki kusema baba kauza nchi kwa china kuokoa mtoto au sasa jiongeze tafuta huo uzi uangalie wewe ulisema nini.
 
Riziwani ni nani kwani?? Mtoto mdogo sana yule atulize kichwa. Tumemstahi sana
 
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Hyo ishu ya china atuijui ndio sasa unatujulisha. Ebu tupe taarifa kamili ilivyokuwa.
 
Lumumba mambo mengine muwe na soni!Mpaka yeye anasema hivyo,yeye Si "chizi"Kwahiyo unataka kusema anampakazia mwenzie?
Ilikuwa lazima ahojiwe kwa sababu amesemwa sana. Riziwani sio clean
 
na wewe uliamini kabisa kwa status ya Ridhiwani eti abebe madawa akakamatiwe China !!! hata kama alikuwa anajishughulisha angekuwa anatumia watu, ilikuwa ni uzushi tu dr slaa na hasira za kushindwa uchaguzi na Jk
 
Huu utawala ni utawala unaofuata sheria. Hakuna aliyejuu ya sheria. Hata kama uwe mtoto wa kikwete
 
Mkuu kwanni kila anayemkosoa makonda au serikali ni BAVICHA?? humu ID feki zimejaa how sure can u be kuwa huyu ni ccm au huyu ni BAVICHA?? formal statement za chadema utazikuta mtaa wa ufipa ila humu jf ni ngumu kujua who is who so usitumie kma yardstick unakuwa unakosea sana
 
Wauzaji waako kwenu au hujui?
eti eeeh mbona hajafungwa sasa au hajakutwa na ushahidi?? manji mwenyewe kesi imegeuka kutoka muuzaji hadi mtumiaji haya azzan huyoo kaachiwa enhee gwajima ndo huyo anawahenyesha hadi sahvi then unatala tuamini kuwa operation ya makonda ilikuwa na tija yoyote as far as MAPAPA WA UNGA r concerned??? mkikosolewa kubalini ili mjirekebishe sio muanze kutuita sijui bavichaa sijui wauza unga its so obnoxious
 
mimi naona ni bora aliitwa akahojiwa na akaonekana msafi maana ukawa walimuandama sana kuhusu yeye kujihusiaha na uuzaji.
mkuu embu tuwe serious kidogo hivi unamuita na kumhoji muuza madawa unategemea utamshika??? nani kati ya walioitwa wale 65 alihojiwa akakutwa na hatia na akatupwa ndani??? au mnafkiri hatuoni kuwa mnatuchezea akili watanzania???? Mhalifu mkamate na ushahidi au mfanyie counter attack ila kwa staili yenu ya kuwataja afu ndio kuwahoji mlishakosea toka mwanzo hivyo msiseme ukawa sijui walidanganya we jua nyie ndo mliharibu operation
 
Kweli hujui kusoma hata picha huoni? Chadema kanda ya pwani wametoa tamko. Na huo ndio msimamo wao kama chama na mimi kuwaweka watu wenye mtizamo huo kundi moja ni sawa kwa mtazamo wangu na nipo sahihi kwasababu huko chama kimekwisha kutoa muelekeo kwa swala binafsi. CCM hawajatoa muelekeo kama chama na ni muona binafsi wa kila mwanachama na umesikia au kusoma maoni tofauti ya wanaccm. Nafikiri nimekujibu na kukupa elimu japo kidogo.
 
Magazeti mengine tayari yametangaza kufirisika....sasa yanawahangaisha kweli. Poleni
 
So far kwenye List zote za Bashite hakuna hata mmoja katiwa hatiani na either tume or Mahakama.
Conclusion.
Bashite hajui afanyalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…