Safi sana Mh Ridhwan!! Huundio muda muafaka kwa bavicha kukusafisha. Penyeza kwa kupitia kutokuridhishwa na hatua ya Mh Makonda. Naimani baraza kuu la chadema litakaa kutoa tamko kumlaani Makonda kumsingizia mtoto wa Rais mstaafu na mbunge wa chalinze.
Uliposema furaha yako kuwa sasa upo huru baada ya kuhojiwa na kamishina wa Madawa, na kukutwa hauna mawaa, wengi hawakukubari lakini leo kwa kupitia Makonda wanakuelewa sana. Bavicha ni taka na ni sabuni. Hujua kuchafua na hawachelewi kusafisha ni kuwajua tu. Wamejaa mitandaoni kuchafua watu. Tuikio la Lowasa ndilo lililo tambulisha udhaifu wao kuwa ni taasisi dhaifu na vigeugeu wasio na msingi wala itikadi inaowaongoza. Hivyo Mh Ridhwan usithubutu kuongea zuri la Makonda sasa hivi utanuka bure.
Bahati mbaya bavicha wamejaa mitandaoni na kwenye vijiwe vya bangi ndio maana kwenye chaguzi nyingi hawashindi