Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Was that rumour true? Lizaboni tafadhali tuhabarishe kidogo hapo.Mnakumbuka ile ishu ya kule china?
Mkuu unaonaje ukakamata ajira mpya!ya kukusanya habari kwa niaba ya rc...Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Inafaa umuulizr ridhiwani hili swaliKwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Chadema imengiaje hapa? Vichaa ni Wengi nchi hiiKwa hiyo Chadema sasa mnaungana kusema kumbe Ridhiwan hauzi unga, mlikuwa mnamsingizia tu?
Asingetajwa au kuitwa Ridhwan mngesema Makonda hafai. Hamna jema nyie!Miaka yake ya uzeeni Bashite atakuja kuishi maisha mabaya sana.. Tuombe uhai
Mbona hamsomeki jamani. Huyu Ridhwan si mlidai ni muhusika papa kwenye ngada?!! Mkasema Makonda anaonea vidagaa mbona hamtaji Ridhwan, au si nyinyi? Leo tena kawa msafi?!Kumbe Bashite ana laana nyingi sana na ni bonge la snitch sema ni zero brain
Hahahahaa. Hawa ndugu zetu nahisi wana matatizo ya akili.Safi sana Mh Ridhwan!! Huundio muda muafaka kwa bavicha kukusafisha. Penyeza kwa kupitia kutokuridhishwa na hatua ya Mh Makonda. Naimani baraza kuu la chadema litakaa kutoa tamko kumlaani Makonda kumsingizia mtoto wa Rais mstaafu na mbunge wa chalinze.
Uliposema furaha yako kuwa sasa upo huru baada ya kuhojiwa na kamishina wa Madawa, na kukutwa hauna mawaa, wengi hawakukubari lakini leo kwa kupitia Makonda wanakuelewa sana. Bavicha ni taka na ni sabuni. Hujua kuchafua na hawachelewi kusafisha ni kuwajua tu. Wamejaa mitandaoni kuchafua watu. Tuikio la Lowasa ndilo lililo tambulisha udhaifu wao kuwa ni taasisi dhaifu na vigeugeu wasio na msingi wala itikadi inaowaongoza. Hivyo Mh Ridhwan usithubutu kuongea zuri la Makonda sasa hivi utanuka bure.
Bahati mbaya bavicha wamejaa mitandaoni na kwenye vijiwe vya bangi ndio maana kwenye chaguzi nyingi hawashindi
Kuwa makini kijana usifumaniwe, unayemtetea tayari ana basha wake wa ukweli na kampiga limbwata.Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Uliiona list ya awamu ya 3 aliyoikabidhi kwa kamshna wa tume ya kudhibiti dawa za kulevya ambayo haikutajwa hadharani?Kwenye orodha ya Makonda Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo Makonda anaingiaje?
Nakumbuka picha moja gazeti moja hivi silimbuki gazeti gani, Bashite alikuwa anamfunga Riz1 kamba za viatu. Hahahahahaha, Bashite anajua sana kucheza na akili za wakubwa.Ridhiwan mnafiki yeye juz si alikua ana Furahi, anasema a nashukuru sasa kuwa amekua huru sababu tume imemuona hauzi, alikua anaongea Miladiayo, na ata katika video ya mwananchi digital.. Gazeti linaandika wanavyotaka wao, Kwani minong'ono alianzisha *******
Ni mchezo mchafu aisee, hiii nchi INA siri kama kata ya mtungiNomekuelewa kumbe ******* ni suala la muda tu ,Ndio maana Nape anapiga huku na kule nimeusoma mchezo
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Ile ya tatu ya kimya kimya ambayo ilikabidhiwa kwa taasisi ya kupambana na madawa ya kulevyaKwenye orodha ya ******* Ridhiwani hakuwepo. Sasa hapo ******* anaingiaje?