Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Makonda shukurani yake kwenu ni kukuingiza kwenye orodha MKUU ndio maana umeitwa
 
Kwa vile hili ni suala linaigusa familia ya aliekua raisi mstaafu kwa nn asiitishe press na kujisafisha na kuisafisha familia ingemuweka huru zaidi.
 
Ridhwan mlimlalamikia sana kuhusu hili jambo. Leo mtamtetea kama kawaida yenu? Bado mtasema Makonda anaangalia mtu na mtu?
 
Kumbe Bashite ana laana nyingi sana na ni bonge la snitch sema ni zero brain
Mbona hamsomeki jamani. Huyu Ridhwan si mlidai ni muhusika papa kwenye ngada?!! Mkasema Makonda anaonea vidagaa mbona hamtaji Ridhwan, au si nyinyi? Leo tena kawa msafi?!
 
Safi sana Mh Ridhwan!! Huundio muda muafaka kwa bavicha kukusafisha. Penyeza kwa kupitia kutokuridhishwa na hatua ya Mh Makonda. Naimani baraza kuu la chadema litakaa kutoa tamko kumlaani Makonda kumsingizia mtoto wa Rais mstaafu na mbunge wa chalinze.
Uliposema furaha yako kuwa sasa upo huru baada ya kuhojiwa na kamishina wa Madawa, na kukutwa hauna mawaa, wengi hawakukubari lakini leo kwa kupitia Makonda wanakuelewa sana. Bavicha ni taka na ni sabuni. Hujua kuchafua na hawachelewi kusafisha ni kuwajua tu. Wamejaa mitandaoni kuchafua watu. Tuikio la Lowasa ndilo lililo tambulisha udhaifu wao kuwa ni taasisi dhaifu na vigeugeu wasio na msingi wala itikadi inaowaongoza. Hivyo Mh Ridhwan usithubutu kuongea zuri la Makonda sasa hivi utanuka bure.
Bahati mbaya bavicha wamejaa mitandaoni na kwenye vijiwe vya bangi ndio maana kwenye chaguzi nyingi hawashindi
Hahahahaa. Hawa ndugu zetu nahisi wana matatizo ya akili.
 
Wanasema wahenga ubinadamu kazi, clouds walimkumbatia leo kawadhuru, Familia ya Kikwete wanamlalamikia, Siku si nyingi Mtukufu John Pombe Joseph Magufuli atajuta.
 
Na
Ridhiwan mnafiki yeye juz si alikua ana Furahi, anasema a nashukuru sasa kuwa amekua huru sababu tume imemuona hauzi, alikua anaongea Miladiayo, na ata katika video ya mwananchi digital.. Gazeti linaandika wanavyotaka wao, Kwani minong'ono alianzisha *******
Nakumbuka picha moja gazeti moja hivi silimbuki gazeti gani, Bashite alikuwa anamfunga Riz1 kamba za viatu. Hahahahahaha, Bashite anajua sana kucheza na akili za wakubwa.
 
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea

Kabisa mkuu...Na tuhuma za kinana kuhusika na ujangili sasa zishughulikiwe
 
Back
Top Bottom