Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

Sasa kama hauzi unga Dr. Slaa alimtaja kwamba anamiliki malori semi trela 200 aliyapataje? Na hiyo ishu la China mpaka babake akapewa u Profesa!!! Ni vema akakaa kimya hili jambo lipite kuna watoto wa vigogo wengine waliwatumia mpaka Miss Tanzania mmoja akawa punda wa kupeleka Afrika kusini. Kutoshtakiwa sio njia ya kuhalalisha huna hatia ni heshima tu ya baba yako ilizingatiwa. Ni wachache tu wasiojua bifu lililokuwepo kati ya familia yako na JPM kwa sababu tu ametekeleza kazi zake pamoja na kukataa upuuzi wa bandari ya Bagamoyo. Unamkumbuka Baba Kundambanda aliimba nini kuhusu Gesi ya Mtwara?
 
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Mbona UNAHUKUMU huku ukitumia neno TUHUMA?
 
Wanadai the Prince alikuwa anacheza na heroine tuuu hamtaki hata kusikia cocaine
 
Malipo ya Makonda yanakuja sasa
Kweli uichafue falme iliyo kulea
Leo falme inanafasi katika falme
Hata dini inaruhusu jino kwa jino
 
Namuonea huruma lama hii story ni kweli.....nani mwokozi wake ? Ndio amepotea kisiasa na kesi juu....
 
Riziwani alimfungulia kesi Dr Slaa kwa matamshi yale, Sijui kesi iliishia wapi!

Nakumbuka Peter Msigwa aliposhindwa kesi na Kinana ya kumuita ni muuza meno ya tembo, Msigwa alisema kuwa alipewa maneno hayo na kiongozi mkubwa wa Chadema wa wakati huo ili kuharibu image kiongozi huyo mkubwa wa CCM

Nadhani huenda kulikuwa na mkakati maalumu wa siasa chafu wakati huo wa kufanyiana character assasination lwa ajili ya manufaa ya kisiasa
 
Nayajua yote. By the way Ridhiwani aache kulialia. Tuhuma za yeye kuhusika na madawa ya kulevya zimeanza kitambo. Mnakumbuka ile ishu ya kule china? Hizi ni tuhuma za muda mrefu. Asianze kutafuta pa kutokea
Siku hizi umejificha
 
Back
Top Bottom