Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Acha ghilba kuhadaa wasomaji. Asante.Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi?
Naomba kujuzwa tafadhali
[emoji23][emoji23] mtoa post huenda ni Academic Master[emoji23] anatafuta uteuzi kama jamaa zake waliopigwa 'stop' na mamlaka ya uteuzi iliyowateua baada ya lile gazeti kuandika kuwa 'Mteuzi' aivuruga CWT!!Acha ghilba kuhadaa wasomaji. Asante.
Uzi ufungweAcha ghilba kuhadaa wasomaji. Asante.
Haya mbona ni matokeo ya private candidate katika hiyo center je matokeo ya shule hii yako wapi?Acha ghilba kuhadaa wasomaji. Asante.
Ni kweli kama alivyoandika mleta post,haya ndio matokeo ya school candidateHaya mbona ni matokeo ya private candidate katika hiyo center je matokeo ya shule hii yako wapi?
Angalia matokeo aliyoweka hapo juu halafu linganisha na haya uliyoweka wewe hapa kama yana fanana Acha kukaza shingo utavunjika.Ni kweli kama alivyoandika mleta post,haya ndio matokeo ya school candidate View attachment 2500852
Nenda shule husika uwaone viongozi wa shule!!!Ipo wazi shule za kiislamu baadhi upokea watoto wa dini nyingine(Watoto wa makafir)!!!!Na nyingine hazipokei!!!!Na lazima ufuate sheria zote za shule na dini husika!!!Shule za wakatoliki zipo tofauti kidogo watoto wa dini zote(Wakrsto,wapagani,waislamu) wanapokelewa!!!KakaWamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi?
Naomba kujuzwa tafadhali
Kuhusu papa si wameitimisha kua papa hana tofauti na yule kiongozi ambae katika aya na adithi anasifia kubusu midomo na ndimi za wanaume wenzie!!!Au bado mjadala unaendelea wadau tuchangie??????Acheni nyie watu mbona mnateseka Sana na Mambo ya wenzenu???
Haya Sasa wekeni ya Al hekma Girls/boys,mbona hamujayafingulia uzi??
Hovyoooooooo,
Siipendi mijitu kutwa kufukunyua habari za wenzao,,,
Kwani kuhusu PAPA mmefikia wapi????
Wee jamaa mnafiki sana[emoji23][emoji23][emoji23]Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi?
Naomba kujuzwa tafadhali
Nilitaka nishangae,seminari ya Kiislamu kufanya Vizuri.Acha ghilba kuhadaa wasomaji. Asante.
Acheni ubaguzi wa kidini. Ndio sababu serikali ikakataa kufanya promotion kwa shule za private.Nenda shule husika uwaone viongozi wa shule!!!Ipo wazi shule za kiislamu baadhi upokea watoto wa dini nyingine(Watoto wa makafir)!!!!Na nyingine hazipokei!!!!Na lazima ufuate sheria zote za shule na dini husika!!!Shule za wakatoliki zipo tofauti kidogo watoto wa dini zote(Wakrsto,wapagani,waislamu) wanapokelewa!!!Kaka