mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Hata hizo za kikristo ni lazima ufuate Sheria zao,kwani haujui kila pahala na Sheria zao???Nenda shule husika uwaone viongozi wa shule!!!Ipo wazi shule za kiislamu baadhi upokea watoto wa dini nyingine(Watoto wa makafir)!!!!Na nyingine hazipokei!!!!Na lazima ufuate sheria zote za shule na dini husika!!!Shule za wakatoliki zipo tofauti kidogo watoto wa dini zote(Wakrsto,wapagani,waislamu) wanapokelewa!!!Kaka
Nipo mkoa ambao seminary kitovu
Peramiho girls ni lazima kusali no kuvaa hijabu,
Chipole girls hivyohivyo nilisomaga yakanishinda masista Wana roho mbaya Sana na hamsemi,
St Louis girls/
St William/
St huruma hii yaani nisiseme Sana maana ni jicho na mdomo na home,