Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,668
- 2,908
Hiyo shule imefanya vizuri sana, hakuna 3, 4 na ziro.Nilitaka nishangae,seminari ya Kiislamu kufanya Vizuri.
Wanafunzi wote ni 1 na 2 only.
Matokeo aliyoweka huyo mbwa ni ya private candidate, ambao kufeli ni kawaida kwa vituo vingi vya mitihani ya private candidate.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app