Ridhwaa Seminary Kinondoni yafanya vizuri kwenye matokeo kidato cha nne mwaka huu (Wapata div 1 &2 ) only

Inshallah mja wa mnyaaz Mungu

Lazima tuwatie adabu makaafri na mayahudi wafuate aliyotuusia mtume wetu
Muwatie adabu katika lipi hao makafir na wayahudi sheikh?????Maana mpaka leo mayahudi wanawatia adabu maarabu hapo middle east!!!!Kuhusu watu ambao sio waislamu kuwaita MAKAFIR upo sahii sababu hata sisi wabantu tunawaita nyinyi waafrika na wabantu mnaofuata dini za kigeni NYEGEMA
 
Tafuta hela upeleke mtoto kemebos mtoto azoee kupanda ndege kutoka dar to bk akiwa mdogo[emoji1787], kubwa kuliko yote div one ni lazima kupata, kula vizuri na kulala pazuri ni lazima.
Am just saying you know[emoji6]
pesa ndio mambo yote tu
 
Walimu wapo na wanapambana si unajua shule mpya majengo mapya kila kitu kipya, wanaogopa kutoa zero,

Huyu dogo primary kasoma private,

Nina dogo mwingine Alison's private primary na seco ni government shule mpya Mbinga girls,miaka mitatu hawakutoaga zero Wala 4,lkn Sasa ni mazero Kama yote.
Bas mkazanie tuisheni Mkuu
 
Mimi ndio nilifunga mjadala kaka kwa kusema watu wasimshangae papa peke yake bali pia wamshangae na yule kiongozi wa dini anaebusu ndimi na midomo ya wanaume wenzie na kuita hiyo ni suna ya kwenda akhera!!!Papa ni muendelezo tu
kinacho kupa nguvu ya kuandika matusi hapa ni hiyo roho na afiya ulio naya sasa siku ukichukuliwa nafs yako kishi ukafukia tani 7 ya kifusi ndipo utakapo jua uliishi maisha ya kishenzi duniani ukafiri
 
Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi?

Naomba kujuzwa tafadhali
Ukimpeleka mtoto wako seminary ambayo ipo chini ya dini/dhehebu yoyote sharti mojawapo ni kufuata taratibu za dini(dhahebu husika)
 
kinacho kupa nguvu ya kuandika matusi hapa ni hiyo roho na afiya ulio naya sasa siku ukichukuliwa nafs yako kishi ukafukia tani 7 ya kifusi ndipo utakapo jua uliishi maisha ya kishenzi duniani ukafiri
Upo sahii kuniita KAFIR kwa mujibu wa imani yako!!Sababu hata sisi wabantu tunawaita nyinyi waafrika mlioacha dini za babu zenu NYEGEMA
 
Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi?

Naomba kujuzwa tafadhali
Hizi seminari za kiislamu matokeo yake ya kila mwaka yanajulikana; acha kuwahadaa watu mkuu. Seminari za kikristo pia matokeo yake yanajulikana kila mwaka.
 
Mimi nilikua sijazaliwa alikua anawanyonya maswaiba wake nanukuu adithi na aya za vitabu vyake na vya maswaiba wake!!!
dawa ya mwanadamu nikukata roho tu hapa utajitahidi kuvunja heshima za watu hili uifurahishe nafs yako yote hayo yatakoma ukifukiwa kifusi ndipo utakopa jua kuwe wewe ni kafiri
 
Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi?

Naomba kujuzwa tafadhali
Wewe una jambo lako lililopelekea kuanzisha huu uzi. Umeona ukianzisha uzi wa moja kwa moja, mods wataufuta ukaamua kuanzisha uzi kwa staili ya kipekee. Subiri wenyewe watoke msikitini waje kukupa za uso. Unawajua vizuri jinsi wanavyopenda shari. 😀 😀 😀 😀
 
Sawa mimi KAFIR kwa mujibu wa imani yako!!!Na sisi wabantu tunakuita wewe NYEGEMA kwa mujibu wa imani yetu kaka!!
 
Wewe una jambo lako lililopelekea kuanzisha huu uzi. Umeona ukianzisha uzi wa moja kwa moja, mods wataufuta ukaamua kuanzisha uzi kwa staili ya kipekee. Subiri wenyewe watoke msikitini waje kukupa za uso. Unawajua vizuri jinsi wanavyopenda shari. 😀 😀 😀 😀
Mmeanza watoto wa seminari🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi?

Naomba kujuzwa tafadhali

Kwa nini wasifuate sheria za shule ikiwa ni Wanafunzi WA hapo?

Mbona Wanafunzi WA Kiislam wakisoma shule za Kikristo wanafuata sheria za shule hizo

Au swali lako limelenga Jambo Gani?
 
Mbona umekaza kwenye nguruwe??

Nimekuambia ni ratiba ya msosi, na half waliosoma hapo wapo huko wanatawa.
kama utaratibu wao nguruwe ndio kitoeo lazima ufate utalatibu huo kama aukufai usimpeleke mwananao huko
 
Kwa nini wasifuate sheria za shule ikiwa ni Wanafunzi WA hapo?

Mbona Wanafunzi WA Kiislam wakisoma shule za Kikristo wanafuata sheria za shule hizo

Au swali lako limelenga Jambo Gani?
Kwa nini wasifuate sheria za shule ikiwa ni Wanafunzi WA hapo?

Mbona Wanafunzi WA Kiislam wakisoma shule za Kikristo wanafuata sheria za shule hizo

Au swali lako limelenga Jambo Gani?
 
Kwa nini wasifuate sheria za shule ikiwa ni Wanafunzi WA hapo?

Mbona Wanafunzi WA Kiislam wakisoma shule za Kikristo wanafuata sheria za shule hizo

Au swali lako limelenga Jambo Gani?
Hayo ni matokeo ya centre,yupo na Jambo lake Hana lolote,matokeo ya shule husika Kuna 3 moja tu,

Kawaida ya binadamu ni kujiona mbora zaidi kuliko mwingine.
 
Mimi ni shekh ila mdudu natafuna hata wewe shekh wangu ukionja mdudu huwezi acha

Kuswali ni lazima shekh tutaionaje pepo km hatukuswali
Tutaionaje pepo km hatukuoa wake wanne
Tutaionaje pepo kama hatujaenda maka kumtwanga shetwani mawe
Kaka hiyo ni kwa mujibu wa dini gani???? ile waliyoleta waarabu au ile waliyoleta wazungu????????Sisi wabantu dini zetu kimapokeo ni tofauti na zenu kimapokeo ndio maana mnatuita KAFIR na sisi tunawaita NYEGEMA
 
Back
Top Bottom