Ridhwaa Seminary Kinondoni yafanya vizuri kwenye matokeo kidato cha nne mwaka huu (Wapata div 1 &2 ) only

Ridhwaa Seminary Kinondoni yafanya vizuri kwenye matokeo kidato cha nne mwaka huu (Wapata div 1 &2 ) only

Hayo ni matokeo ya centre,yupo na Jambo lake Hana lolote,matokeo ya shule husika Kuna 3 moja tu,

Kawaida ya binadamu ni kujiona mbora zaidi kuliko mwingine.

Sipendagi Watu wanaopindisha pindisha Mambo.
Kujiona wao ni Bora au dini au makabila au taifa Lao ni Bora kuliko jingine.

Hapo ndipo tunapishanaga na wengi
 
wewe ulicho kiona kibaya ni nguruwe tu kutoswali je????
Hana lolote huyo ni kristo,,

Mie nimefanya kazi ktk shule moja ya Iman yangu, na watoto wa Iman nyingine wapo tele na wanafuata Sheria za pale kuabudu na mavazi pia.
 
kama utaratibu wao nguruwe ndio kitoeo lazima ufate utalatibu huo kama aukufai usimpeleke mwananao huko
Shule ile ya makafir inatoa elimu nzuri ndio maana tunapeleka watoto wetu hapo kwa makafir wapate elimu dunia nzuri!!
 
Haya maswali muulize ustaadhat mawardat!!!!Sawa 2500q
Hiyo nilisema pale kwenye Sheria za shule,

Maana kila mwanafunzi ni lazima afuate Sheria za shule husika,kuhusu chakula,kuabudu na mavazi,

Sasa wewe umekaza kwenye kitimoto,hiyo ni ratiba yao ya chakula Kama ilivyo kwetu kila ijumaa ni lazima wanafunzi wapikiwe pilau na nyama.
 
Angalia matokeo aliyoweka hapo juu halafu linganisha na haya uliyoweka wewe hapa kama yana fanana Acha kukaza shingo utavunjika.
Hujaangalia vizuri nilikua namjibu huyu jamaa aliyeweka haya matokeo!!!hivyo usikurupuke mzee!!!!!
[emoji116][emoji116][emoji116]
1431082147.jpg
 
Nilitaka nishangae,seminari ya Kiislamu kufanya Vizuri.
Hayo ni matokeo ya private candidates walio fanyia mtihani hapo ila school candidate kuna one na two pekee. Wapo vizuri sana wasiwasi wangu ni kama wanawapokea watoto wa kikristo bila kuwa na hitaji la kwenda kuswali msikitini
 
Back
Top Bottom