Ridhwaa Seminary Kinondoni yafanya vizuri kwenye matokeo kidato cha nne mwaka huu (Wapata div 1 &2 ) only

Ridhwaa Seminary Kinondoni yafanya vizuri kwenye matokeo kidato cha nne mwaka huu (Wapata div 1 &2 ) only

Acheni nyie watu mbona mnateseka Sana na Mambo ya wenzenu???

Haya Sasa wekeni ya Al hekma Girls/boys,mbona hamujayafingulia uzi??

Hovyoooooooo,

Siipendi mijitu kutwa kufukunyua habari za wenzao,,,

Kwani kuhusu PAPA mmefikia wapi????
School candidate wamepata one na two pekee hao wengine ni private candidate ndio vilaza wanachanganya hapa
 
Kwa nini wasifuate sheria za shule ikiwa ni Wanafunzi WA hapo?

Mbona Wanafunzi WA Kiislam wakisoma shule za Kikristo wanafuata sheria za shule hizo

Au swali lako limelenga Jambo Gani?
We nawe kilaza kumbe umeelewa swali au unakurupuka?
 
Hayo ni matokeo ya centre,yupo na Jambo lake Hana lolote,matokeo ya shule husika Kuna 3 moja tu,

Kawaida ya binadamu ni kujiona mbora zaidi kuliko mwingine.
Dada angu ungejua wala usinge nilaumu aisee mimi nimesema Ridhwaa Seminary wamefanya vizuri mwaka huu na ni kweli kuna 1 na 2 pekee so I was asking kama mtoto wa kikristo anaweza kupokelewa na kama akipokelewa hakuna sharti la kumtaka aende msikitini kama wafanyavyo shule za kikatoliki? Lengo nijue ILI nimpeleke dogo shule. Nilisoma.shule ya kiislamu " Kinondoni Muslim" lakini wao sio seminar hawana sheria hizo isipokuwa mavazi na kuto ruhusu free mixing.
 
Acha ghilba kuhadaa wasomaji. Asante.
UNAWEZA KUWA NA CHUKI. lakini si ya kiwango hicho. Jamani, chuki zinazeesha na kudhoovisha afya yako.
Njia nyepesi ya kutoa chuki ni kuomba radhi. Tafadhali fanya hivyo. Ni ombi tu.
 
Dada angu ungejua wala usinge nilaumu aisee mimi nimesema Ridhwaa Seminary wamefanya vizuri mwaka huu na ni kweli kuna 1 na 2 pekee so I was asking kama mtoto wa kikristo anaweza kupokelewa na kama akipokelewa hakuna sharti la kumtaka aende msikitini kama wafanyavyo shule za kikatoliki? Lengo nijue ILI nimpeleke dogo shule. Nilisoma.shule ya kiislamu " Kinondoni Muslim" lakini wao sio seminar hawana sheria hizo isipokuwa mavazi na kuto ruhusu free mixing.
Nimekuelewa, binafsi nimesoma seminary ya kikristo na ni lazima kufuata Sheria za shule mavazi/ibada nk.
 
Back
Top Bottom