Nilikuwa namuelewesha huyo zezeta kuhusisha kufaulu mtu na shule ya dini. Hata kwenye somo la dini pamoja na kufaulu unaona zimejaa C na D.
Kufaulu mwanafunzi inategemea juhudi ya mwanafunzi japokuwa shule inachangia kiasi chake.
Hizo shule nyingi za seminary unaona zinachukua wanafunzi cream, walimu wazuri na mazingira mazuri.
Wabebe ovyo kama shule za kata bila kufanya usaili, wanafunzi wapite bila wastani kila darasa uone ugumu wake kujaza A zote.
Unakuta mwanzo mwisho 'spoon feeding', kumaliza syllabus kwa wakati, unapigwa mitihani karibia kila wiki hadi unajikuta maswali unayazoea.