Ridhwani Kikwete akemea vikali wauza dawa za kulevya na ataka sheria kali itungwe

Sawa

Angechagiza na kauli hii Hapa;-

"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike mapema"
 
Naibu waziri wa mchongo.
Tangu ateuliwe sijamsikia popote.
 
Huyu mtoto wa mjini ambae matahira ya chadema yanamuona mungu wao ana nini kipya?
Yaaah. Sasa hivi hawa wanaitwa watoto wa mjini, wanamwagiwa sifa kedekede.
 
Make hapo kwanza ncheke.

#MaendeleoHayanaChama
 
Watanzania kwa majungu na roho mbaya hamjambo! Kaongea nongwa asingeongea nongwa nani mwenye ushahidi kwamba jamaa anauza madawa zaidi ya uzushi tu? Ndio maana tunapigwa kwenye tozo sababu akili zetu finyu tumekalia umbeya tu!
Chawa kama chawa.
 
Nyani haoni kundule😂😂
 
Ukitaka kujua habari za Tajiri..
Muulize Masikini....
 
Na yeye kule China alikokamatwa,Baba akaenda kumgomboa kwa dhamana ya Mali za walalahoi,alikuwa amepeleka unga wa muhogo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sheria kali zingine tena?

hii nchi ina sheria kali sana na za kutosha sema wahusika hamna/hawapo (situsi mtu/watu)!

kuna mengi tunayaona huko mtaani na wenye dhamana ya kuchukua hatua wapo ila ni kama sheria hizi hizi kali haziwahusu!

basi afafanue ni kipengele/vipengele gani "angependa" ki/viwekwe sawa kazi iendelee!

ila acha akemee lakini huenda masela watamsikiliza!

ghafla nimekumbuka yale maneno ya kijana wa Nyerere juu ya watoto wa viongozi!
 
Wanasema mchaei mpe mwana amlee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…