Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa sio Kila Kitu. Pesa ni Kitu.pesa ndio kila kitu
mentality ya waarabu matajiri wa middle east na huko europe ni tofauti sana na mentality ya waarabu waswahili wa bongo.fahamu hilo.Pamoja na hayo huyu USTADH atakubali huyo kifyetu wake apande jukwaani nusu uchi?
Hawa watu wana vituko kweli. Rianna atatulia kweli
Unasema kwelHuyu mwarabu wa SAUDIA
Kibiti mkuuMakamu wa rais wa nini
Sema wewehizi bahati huwa znapita njia ipi mbona sijawai kukutana nazo?
Mkuu umetoa mifano hai kabisa kula tanoHuwaga najiuliza...diamond angekua fukara zari angemuona?? Wema angemuona??
Wakuu tutafute pesa!!
Khee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kila mtu ni billionaire bhana. Tunatofautiana tuu tarakimu. Hata Tsh 10,000/= unaweza itamka $0.0000000045 billion. Huyo Rihanna aache kurusha roho wake zetu.
Tena njaaa haswa kutwa hawaishi kulialia mara oooh sijui siwez kumpa hiki mwanamke mara sijui utumbo gani shida tupu kumbe yooote wanasumbuka njaaaaaaaaaNa wacheza visingeli....wanaume wa bongo njaa tu.
Una mihela????C mchezo,nilikuwa namfukuzia huyu mrembo rihana aisee
Huwaga najiuliza...diamond angekua fukara zari angemuona?? Wema angemuona??
Wakuu tutafute pesa!!
Bonge la IDMaisha mafupi sana acha atumbue.Huyu kaka aliwahi kuwa mpenzi wa Naomi Campbell
hizi bahati huwa znapita njia ipi mbona sijawai kukutana nazo?
Wewe unaota ndoto mchana. Rihanna hafikii robo ya mkwanja wa mwarabu mzibua choo a.k.a mla kisamvu cha kopo.Duuu sasa huo u gold digger unakuja vipi? Unataka kuniambia Rihanna hana nusu ya utajiri wa huyo Mwarabu...
Au basi tuseme walau Dola 400M?