Rihanna aula kwa kupata bwana tajiri

Rihanna aula kwa kupata bwana tajiri

C mchezo,nilikuwa namfukuzia huyu mrembo rihana aisee
 
Kila mtu ni billionaire bhana. Tunatofautiana tuu tarakimu. Hata Tsh 10,000/= unaweza itamka $0.0000000045 billion. Huyo Rihanna aache kurusha roho wake zetu.
Khee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Na wacheza visingeli....wanaume wa bongo njaa tu.
Tena njaaa haswa kutwa hawaishi kulialia mara oooh sijui siwez kumpa hiki mwanamke mara sijui utumbo gani shida tupu kumbe yooote wanasumbuka njaaaaaaaaa
 
Duuu sasa huo u gold digger unakuja vipi? Unataka kuniambia Rihanna hana nusu ya utajiri wa huyo Mwarabu...
Au basi tuseme walau Dola 400M?
Wewe unaota ndoto mchana. Rihanna hafikii robo ya mkwanja wa mwarabu mzibua choo a.k.a mla kisamvu cha kopo.
 
Rihanna anapenda pipe za nyarabu balaa. Mara Kareem Benzema mara huyu jamaa. Rihanna ni slut tu. Chris Beezy mwenyewe mende tu msosi wake choo a.k.a nyaa.
 
Acha ale maisha maana maisha mafupi kama mkia wa mbuzi waislam kwa mahaba ndio Wenyewe sijui kama rihana atatoka hapo
 
Back
Top Bottom