RIHANNA: Sipo tayari kuwa single mother hata kama najitosheleza kulea mwenyewe

Kwani waliokuwa single mothers walikuwa tayari?
We unazaa na mwanaume ambae hamjuani vzuri unatarajia nn??

We unazaa na mwanaume ambae hajawahi hata kukuuliza "mama hajambo", "baba anaendeleaje", unategemea nn??

We unazaa na mwanaume ambae hamjawahi kuongea maswala ya ndoa, wala ukiingiza story za ndoa yeye anakaa kimya, unategemea nn??
 
Haya ni maneno aliyoongea billionea Rihanna kwenye moja ya interview zake ambayo ilizua hisia tofauti tofauti miongoni mwa mashabiki zake.

" Sitaweza kuachana na mme wangu hata kama akinichiti kwa sababu wanangu wanamuhitaji baba yao na pia hata mimi nahitaji niwe na familia iliyotimia."

"Nilipofunga ndoa na kupata watoto, sitaki kabisa kuwa na talaka kwa sababu sifikiri kama niko tayari kuwa single mother. Napendelea familia kamili hata kama najua naweza kujitosheleza na kulea wanangu kama nikitaka lakini, hicho sicho ninacho kitamani wala kukitaka.

Wanangu daima watamuhitaji baba yao, watahitaji uwepo wake. Na kuwa single parent hii sio utamaduni wa watu weusi na mimi ni mwanamke mweusi niliyekuzwa kwa misingi ya kuthamini thamani ya watu weusi."- Rihanna🗣️

View attachment 3091192
Kuna article moja iliwahi andikwa, hawa wasanii wa kubwa wanaimba sana na wanahimiza sana “single ladies”, strong woman, thot behavior, umalaya”

Lakini wao wenyewe wameolewa, na hawafanyi hayo wanayo yaimba
 
We unazaa na mwanaume ambae hamjuani vzuri unatarajia nn??

We unazaa na mwanaume ambae hajawahi hata kukuuliza "mama hajambo", "baba unaendeleaje", unategemea nn??

We unazaa na mwanaume ambae hamjawahi kuongea maswala ya ndoa, wala ukiingiza story za ndoa yeye anakaa kimya, unategemea nn??
Kumbe kama mtu hajauliza mama hajambo, hii ni dalili mbaya 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwanaume anayekupenda na mwenye malengo na wewe lazima atataka kujua hali ya nyumbani ikoje, anajua akiuliza hivo utafunguka utaanza kunisimulia "ooh sijui mama anaumwa" "baba sina alifariki nimebaki na mama" "baba yupo ila yupo mwenyew mama alimwacha"
Yaan kuna ile hamu ya kujua hali ya home ya mwanamke wako inakuwepo, ila kama chapa iende, hana time kujua hali ya huko home.
 
Hayo yote kaanzisha Mwarabu alipoleta talaka kwenye mafunisho ya dini yake.
Mzungu nae katuletea talaka kwenye mahakama zake huku kwenye dini anaikataa. Mnafiki tu.
Kabla ujio wao mwafrika hakuwa na talaka
Kafiri, tafadhali usianze, mara ukaharibu uzi wa watu. Dini yetu Uislam haina kosa lolote wala kasoro yoyote.
 
We unazaa na mwanaume ambae hamjuani vzuri unatarajia nn??

We unazaa na mwanaume ambae hajawahi hata kukuuliza "mama hajambo", "baba unaendeleaje", unategemea nn??

We unazaa na mwanaume ambae hamjawahi kuongea maswala ya ndoa, wala ukiingiza story za ndoa yeye anakaa kimya, unategemea nn??

Taratibu mkuu

Hayo uliyotaja ni kweli yapo lakini angalia na sababu zingine zinazofanya watu wawe single mothers...hizo ulizotaja zote zinam-point mwanamke kuwa ndio mwenye makosa hadi anakuwa single mother
 
Nimekutana na sampuli zile za “nipe mtoto tu nitalea mwenyewe”
And hiyo rate inazidi kuongezeka.

But then si wote wanaotaka, kuna case inatokea so yah but mambo si mazuri kwa ground

Hiyo nipe mtoto nitalea mwenyewe nasikia wapo kweli wa namna hiyo,nafikiri sababu kubwa huwa wanakuwa wameshajichokea na wanaona umri umeenda

Lakini wapo waliokuwa single mothers sababu ya ndoa kuvunjika,kifo cha baba na mambo kama hayo
 
Haya ni maneno aliyoongea billionea Rihanna kwenye moja ya interview zake ambayo ilizua hisia tofauti tofauti miongoni mwa mashabiki zake.

" Sitaweza kuachana na mme wangu hata kama akinichiti kwa sababu wanangu wanamuhitaji baba yao na pia hata mimi nahitaji niwe na familia iliyotimia."

"Nilipofunga ndoa na kupata watoto, sitaki kabisa kuwa na talaka kwa sababu sifikiri kama niko tayari kuwa single mother. Napendelea familia kamili hata kama najua naweza kujitosheleza na kulea wanangu kama nikitaka lakini, hicho sicho ninacho kitamani wala kukitaka.

Wanangu daima watamuhitaji baba yao, watahitaji uwepo wake. Na kuwa single parent hii sio utamaduni wa watu weusi na mimi ni mwanamke mweusi niliyekuzwa kwa misingi ya kuthamini thamani ya watu weusi."- Rihanna🗣️

View attachment 3091192
Anahela na amejitambua huyu. Kwa haya aliyosema kama n yeye basi ni role model wa kina dada wengi wanaotaka kuolewa.
 
Kwa taarifa yako wengi hawako tayari

Ni wamekosa namna tu...either umri kwenda,kifo cha baba mtoto ama kuachana na baba watoto wao

Hakuna mwanamke anayefurahi kulea mtoto peke yake
Single maza wengi ni wale malaya waliokubali kuzalishwa hovyo bila kuwa kwenye ndoa achana na wajane na hao wataliakana na waume zao

Na talaka nyingi huwa zinasababishwa na wanawake kwa hiyo tunarudi palepale wanawake wengi ni single maza kwa kujitakia
 
Haya ni maneno aliyoongea billionea Rihanna kwenye moja ya interview zake ambayo ilizua hisia tofauti tofauti miongoni mwa mashabiki zake.

" Sitaweza kuachana na mme wangu hata kama akinichiti kwa sababu wanangu wanamuhitaji baba yao na pia hata mimi nahitaji niwe na familia iliyotimia."

"Nilipofunga ndoa na kupata watoto, sitaki kabisa kuwa na talaka kwa sababu sifikiri kama niko tayari kuwa single mother. Napendelea familia kamili hata kama najua naweza kujitosheleza na kulea wanangu kama nikitaka lakini, hicho sicho ninacho kitamani wala kukitaka.

Wanangu daima watamuhitaji baba yao, watahitaji uwepo wake. Na kuwa single parent hii sio utamaduni wa watu weusi na mimi ni mwanamke mweusi niliyekuzwa kwa misingi ya kuthamini thamani ya watu weusi."- Rihanna🗣️

View attachment 3091192
Sio huku kwetu akishazishika tu hela utasikia'usinibabaishe,naweza kukulisha na kukuvisha,na hata ukiamua kuondoka usifikiri ntapata shida'...
 
Back
Top Bottom