RIHANNA: Sipo tayari kuwa single mother hata kama najitosheleza kulea mwenyewe

RIHANNA: Sipo tayari kuwa single mother hata kama najitosheleza kulea mwenyewe

Haya ni maneno aliyoongea billionea Rihanna kwenye moja ya interview zake ambayo ilizua hisia tofauti tofauti miongoni mwa mashabiki zake.

" Sitaweza kuachana na mme wangu hata kama akinichiti kwa sababu wanangu wanamuhitaji baba yao na pia hata mimi nahitaji niwe na familia iliyotimia."

"Nilipofunga ndoa na kupata watoto, sitaki kabisa kuwa na talaka kwa sababu sifikiri kama niko tayari kuwa single mother. Napendelea familia kamili hata kama najua naweza kujitosheleza na kulea wanangu kama nikitaka lakini, hicho sicho ninacho kitamani wala kukitaka.

Wanangu daima watamuhitaji baba yao, watahitaji uwepo wake. Na kuwa single parent hii sio utamaduni wa watu weusi na mimi ni mwanamke mweusi niliyekuzwa kwa misingi ya kuthamini thamani ya watu weusi."- Rihanna🗣️

View attachment 3091192
Aisee,
Wasanii wa Tanzania wajifunze maadili mema kwa huyu
 
Alafu sasa alivyonenepa ndio kawa mzuri zaidi...
Kina mwajuma ndala ndefu mmesikia huko..
 
1674319502564.jpg

Watarudi Tuu.
 
Single mother ujuaji mwingi, full kiburi na kupenda mashindano katka mahusiano. Hakuna mwanaume anayeweza kuacha mke anayempenda na kumheshimu.
Mtazamo wako na bado hujaelewa maisha. Muache kukariri, hii dunia ina mengi. Ukijua story ya kila mtu kuwa single mama utabadili huo mtazamo wako. Na hao single baba shida yao iko wapi mpaka wakawa single baba?
 
Kuna article moja iliwahi andikwa, hawa wasanii wa kubwa wanaimba sana na wanahimiza sana “single ladies”, strong woman, thot behavior, umalaya”

Lakini wao wenyewe wameolewa, na hawafanyi hayo wanayo yaimba
Beyonce huyo kawatia ujinga wenzake,ila yy anaitunza ndoa yake na Jigga.

Card B kila siku anatangaza kuachana na mmewe, kumbe anakutana naye kimya kimya na tayari jamaa kishaweka mimba nyingine.

Fedha haijawahi kulea mtoto, ila familia ya baba na mama,ndio hulea mtoto billionaire kaliona hilo. Sasa njoo na mafeminist walio zichukua ajenga bila kuzitafakari,wakipata elimu na hela kwao wanaona familia hazina maana,kutwa kubishana na kutunishiana misuli na waume zao.

Huyo Mungu mwenyewe, alimwomba Yusuph awe mlezi wa Yesu baada ya kumkataa Maria, sio kwamba yy alikuwa hajui kumtunza na kumkuza Yesu, bali alitaka kutuonyesha umuhimu wa familia,umuhimu wa mtoto kulelewa na wazazi wawili.(Hii paragraph kwa wanao amini).

Talaka nyingi US kwa zaidi ya asilimia sabini ,hufunguliwa na wanawake ila baadae wengi wao huregret maamuzi yao, mfano ex wa Tyrese anatamani kurudiana na mmewe.
 
Beyonce huyo kawatia ujinga wenzake,ila yy anaitunza ndoa yake na Jigga.

Card B kila siku anatangaza kuachana na mmewe, kumbe anakutana naye kimya kimya na tayari jamaa kishaweka mimba nyingine.

Fedha haijawahi kulea mtoto, ila familia ya baba na mama,ndio hulea mtoto billionaire kaliona hilo. Sasa njoo na mafeminist walio zichukua ajenga bila kuzitafakari,wakipata elimu na hela kwao wanaona familia hazina maana,kutwa kubishana na kutunishiana misuli na waume zao.
Naaam, tena hawa dada zetu huku wanao copy direct bila kujifunza. Ndio yakiwakuta ya kuwakuta wanalaumu
 
Ndugu zangu nawaambia hivi Hakuna mwanaume ambaye anaweza telekeza Damu yake hakuna ni vile tu wanaugulia moyoni kuwa mbali na mtoto/watoto wake! Wanaume huwa tunakua proud na damu zetu najisikia faraja kuitwa baba!

Shida inakuja kwa hawa wanawake Mtoto wa kwanza ni Wako pure kabisa mnafanana kila kitu mpaka kutembea, kucheka, everything mapenzi yanakua moto moto mwanzo.Sasa wanaume kuweni waangalifu kuanzia mtoto wa pili na kuendelea hapo ndipo mchanganyo unapotokea.

Wanaume wengi wanalea sio damu zao unakuta mtoto hafanani na yoyote yule, matukio ya ushirikina, kelele, goldiggers..e.t.c
Almanusura nipigwe na tukio hilo sikubaki nikasepa zangu sitaki ujinga. Huyo mwingine first born hana shida.
 
We unazaa na mwanaume ambae hamjuani vzuri unatarajia nn??

We unazaa na mwanaume ambae hajawahi hata kukuuliza "mama hajambo", "baba anaendeleaje", unategemea nn??

We unazaa na mwanaume ambae hamjawahi kuongea maswala ya ndoa, wala ukiingiza story za ndoa yeye anakaa kimya, unategemea nn??
Wew mwenyewe hujawahi huliza mama yangu na baba yangu hajambo,hapo vip!?
 
Back
Top Bottom