Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Main point ni kwamba wanawake msizae na wanaume wasioonyesha interest yoyote kwako zaidi ya interest za kingonoWew mwenyewe hujawahi huliza mama yangu na baba yangu hajambo,hapo vip!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Main point ni kwamba wanawake msizae na wanaume wasioonyesha interest yoyote kwako zaidi ya interest za kingonoWew mwenyewe hujawahi huliza mama yangu na baba yangu hajambo,hapo vip!?
Ni kwl mkuu na inafikia mahali wanatafuta hata mwanaume wa kulea zu Aishi nae kama mume inashindikanika.....Kwa taarifa yako wengi hawako tayari
Ni wamekosa namna tu...either umri kwenda,kifo cha baba mtoto ama kuachana na baba watoto wao
Hakuna mwanamke anayefurahi kulea mtoto peke yake
We unazaa na mwanaume ambae hamjuani vzuri unatarajia nn??
We unazaa na mwanaume ambae hajawahi hata kukuuliza "mama hajambo", "baba anaendeleaje", unategemea nn??
We unazaa na mwanaume ambae hamjawahi kuongea maswala ya ndoa, wala ukiingiza story za ndoa yeye anakaa kimya, unategemea nn??
Bora uzae na mwanaume ambaye hana interest ya kukujua wewe kiundani wala ya kuwajua wazazi wako ORKujuana vizuri na mengineyo uliyoandika si uhakika kwamba mwanaume atakaa hapo siku zote. Maisha hubadilika, watu hubadilika.
Hongera kwake kwa kujitambua.Haya ni maneno aliyoongea billionea Rihanna kwenye moja ya interview zake ambayo ilizua hisia tofauti tofauti miongoni mwa mashabiki zake.
" Sitaweza kuachana na mme wangu hata kama akinichiti kwa sababu wanangu wanamuhitaji baba yao na pia hata mimi nahitaji niwe na familia iliyotimia."
"Nilipofunga ndoa na kupata watoto, sitaki kabisa kuwa na talaka kwa sababu sifikiri kama niko tayari kuwa single mother. Napendelea familia kamili hata kama najua naweza kujitosheleza na kulea wanangu kama nikitaka lakini, hicho sicho ninacho kitamani wala kukitaka.
Wanangu daima watamuhitaji baba yao, watahitaji uwepo wake. Na kuwa single parent hii sio utamaduni wa watu weusi na mimi ni mwanamke mweusi niliyekuzwa kwa misingi ya kuthamini thamani ya watu weusi."- Rihanna🗣️
View attachment 3091192
Wanapambana kutokomeza single mama wanasahau kutokomeza ushoga😅😅😅😅😅mwanaume wa karne ni kituko showHivi ni jukumu la mwanamke kupigania ndoa eeh! Kuna kauli za wanaume na wanawake unazisikia unabaki tu kusema hiiiiii🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Nakazia mtu wangu. 😀Nasimama na bilionea rihanna, kwa mkapa hatoki mtu.....
Hamna mwanaume anamuacha mwanamke bila sababu,chanzo cha wanawake kuachwa ni wao wenyewe na tabia zao mbovu.Kwani waliokuwa single mothers walikuwa tayari?
Yeye aombee bwana ake asimuache tu kwasababu akiamua kumuacha hakuna kitu atafanya
Rihanna hajasema haya maneno, hii ni story ya kutungaRihanna anajua sana thamani ya mwanaume, hata akichit asap rocky wala haachwi, hasa kule afurika kila leo wanakagua simu za wapenzi wao wakati rihanna bilionea hagusi kabisa simu ya mume wake
WapoKwa taarifa yako wengi hawako tayari
Ni wamekosa namna tu...either umri kwenda,kifo cha baba mtoto ama kuachana na baba watoto wao
Hakuna mwanamke anayefurahi kulea mtoto peke yake
Namba mbili anachukua points ila maana yangu ni kwamba hata huyo namba mbili anaweza badilika mbeleni. Haujawahi ona watu walifikia hadi ndoa ila ghafla wakaja telekeza familia zao? Binadamu anaweza badilika muda wowote hata kama alikua mwema kiasi gani.Bora uzae na mwanaume ambaye hana interest ya kukujua wewe kiundani wala ya kuwajua wazazi wako OR
Uzae na mwanaume anayeonesha interest ya kukufahamu zaidi, sio wewe tuu bali hata na wazazi wako?
Who is more promising??
Kuna filamu yake ametoa mpya nimesahau jina ukiitazama ameelezea vyema kwanini mahusiano yake ni ya namna hio.Aiseee yule papuchi yake kajua kuitembezea bakora
Ndugu zangu nawaambia hivi Hakuna mwanaume ambaye anaweza telekeza Damu yake hakuna ni vile tu wanaugulia moyoni kuwa mbali na mtoto/watoto wake! Wanaume huwa tunakua proud na damu zetu najisikia faraja kuitwa baba!
Shida inakuja kwa hawa wanawake Mtoto wa kwanza ni Wako pure kabisa mnafanana kila kitu mpaka kutembea, kucheka, everything mapenzi yanakua moto moto mwanzo.Sasa wanaume kuweni waangalifu kuanzia mtoto wa pili na kuendelea hapo ndipo mchanganyo unapotokea.
Wanaume wengi wanalea sio damu zao unakuta mtoto hafanani na yoyote yule, matukio ya ushirikina, kelele, goldiggers..e.t.c
Almanusura nipigwe na tukio hilo sikubaki nikasepa zangu sitaki ujinga. Huyo mwingine first born hana shida.
😅😅😅😅😅😅Kutana na Irene Mapepe sasa wa uswahilini anavyojiita superwoman
DahHaya ni maneno aliyoongea billionea Rihanna kwenye moja ya interview zake ambayo ilizua hisia tofauti tofauti miongoni mwa mashabiki zake.
" Sitaweza kuachana na mme wangu hata kama akinichiti kwa sababu wanangu wanamuhitaji baba yao na pia hata mimi nahitaji niwe na familia iliyotimia."
"Nilipofunga ndoa na kupata watoto, sitaki kabisa kuwa na talaka kwa sababu sifikiri kama niko tayari kuwa single mother. Napendelea familia kamili hata kama najua naweza kujitosheleza na kulea wanangu kama nikitaka lakini, hicho sicho ninacho kitamani wala kukitaka.
Wanangu daima watamuhitaji baba yao, watahitaji uwepo wake. Na kuwa single parent hii sio utamaduni wa watu weusi na mimi ni mwanamke mweusi niliyekuzwa kwa misingi ya kuthamini thamani ya watu weusi."- Rihanna🗣️
View attachment 3091192
Yaan ujue jamii zetu za kiafrika wanawake wengi wana athriwa na umaskin wakdhan kuwa kupata pesa ni kila ktu na ndoa ni ktu cha ziada.Aidha wengi hata wakipat vipesa wanaona kuwasapot waume za ndoa zsonge mbele wanaona kama wanapotez pesa mwishowe wakibak sngo wanapoteza heshma na aman kulko wangepambania ndoa zao.Huyu kaondoa ile mindset mbovu ya wanaoamini kuwa single mother dawa yake ni kutafuta pesa tu.
@Mtibeli
Billionea kabisa huyu anajua umuhimu wa baba kwenye familia ila ngedere mmoja wa ngerengere anakaza ubongo kuwa anayamudu maisha atalea mwenyewe kisa ana ajira ya kuwa teller NMB🤣Haya ni maneno aliyoongea billionea Rihanna kwenye moja ya interview zake ambayo ilizua hisia tofauti tofauti miongoni mwa mashabiki zake.