RIHANNA: Sipo tayari kuwa single mother hata kama najitosheleza kulea mwenyewe

Una kitu utafika mbali, ntafute tuyajenge bibie.
 
Yule Rastaman wake akiamua kumuacha, nn atafanyaa nn?
Akae kwa kutuliaa, muhimu wazeeke Pa1. Lol
 
Kwani waliokuwa single mothers walikuwa tayari?

Yeye aombee bwana ake asimuache tu kwasababu akiamua kumuacha hakuna kitu atafanya
Point yake ni hiyo hiyo sema hujamuelewa,isipokuwa yeye anakwenda mbali zaidi kwamba pamoja na kwamba ana hela za kufanya chochote bado ni jambo ambalo hilo hayuko tayari nalo kitu ambacho wengi hiyo ni sababu ya kudai talaka.
 
"Najitosheleza, sihitaji mwanaume, najiamini"

Alisikika mdangaji akiwa na wenzake kwenye jukwaa la wanawake tunaweza.
We jamaa wewe....😂😂😂
 
Reactions: Tsh
Mmh na ulivyoona inamake sense kbsa kwko.
Kuna mtu ana mke mmoja toka mwaka 1990 lakini michepuko aliyopitia ni zaidi ya 100, Au mwanamke ana mme alkini nje michepuko 20...

Tatizo ni kwamba wao ni mastaa, hivyo habari zao zinajulikana na kuzingatiwa, lakini huku mtaani watu walishakuwa kwenye mahusiano na watu zaidi ya 50, ni vile hawajulikani .. kawaida sana..
 
safi kabisa
 
Ila familia ni baba na mama asee, Rihanna mdingi wake ni mlevi wa kupindukia, mpenda kamari, ashatapeli sana kutumia jina la mwanae ile ana post poster za Riri anakula viingilio kumbe ata hayupo barbados muda huo

Yooote hayo anampenda baba ake sana, nafkri ameona umuhimu wa bb maishani ila sema za ukweli mabinti hupenda sana baba zao unconditional love. She wants that for her kids 👍
 
Nimekutana na sampuli zile za “nipe mtoto tu nitalea mwenyewe”
And hiyo rate inazidi kuongezeka.

But then si wote wanaotaka, kuna case inatokea so yah but mambo si mazuri kwa ground
Hii ndo chanzo Kikuyu
 
Me pia nakubali alichosema
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…