Rihanna vs Beyonce nani ni malkia wa muziki?

Nakubali. Haya turudi kwa Rihanna na Beyonce
 
Lile goma aliloimba na shatta wale wa Ghana, king .....
 
Whitney Houston forever๐Ÿ‘‘

Ila kati ya Beyonce na Rihanna, i will go with Rihanna.
 

Cha kuongezea

Mary J blidge anajulikana kama malkia wa hip hop soul, genre aliyoisongesha mjini ambayo ni breed ya hip hop and soul music

Ashanti ni princess of RnB

Mariah Carey, Whitney Houston na Celine Deon wanajulikana kama "The vocal Trinity".. Kwenye sauti hawashindanishwi na wengine kwenye Era yao

Beyonce japo watu baadhi wanabisha ila kwa sasa ndio the best stage performing Artist alive, na wengine wanamuita "Queen of stage" Japo inspiration kubwa kaipata kwa Tina Turner
 
Queen B hana nyimbo mbovu,,, kila album [emoji91][emoji91][emoji91] She is best intertainer of all time after MJ
 
Huu mtanange wa Riri Vs Beyonce haujawahi kuisha ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Beyonce ni monster kwa stage maana ni perfectionist kama MJ, vocal kali na ana tuzo nyingi kuliko Riri. Pia ile innocence na kuweka maisha yake extremely private imemsababishia kuwa na heshima, hadhi na influence kwa fans "beyhive".ukiachana na kuwa na powercouple "Hollywood"

Rihanna ana mafanikio makubwa financially kama msanii wa kike tajiri zaidi lakini pia ametengeneza na kuuza more hit records kuliko Beyonce. Riri ana ile Bad b*tch persona inayomfanya kupendwa sana na wengi lakini haimpi hadhi kubwa tofauti na bey

Binafsi yangu namkubali zaidi Riri lakini kwa influence and musical impact, hamkaribii bey hivyo, queen Bey apewe ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Beyonce:;sababu yupo kwenye game muda mrefu na anakubalika sehemu nyingi duniani lakini kwa Rihanna muziki wake unapendwa na waafrica zaidi ya Beyonce, Chunguza hilo utagundua waafrica hasa Tanzania nyimbo za Rihanna ni maarufu zaidi kuliko za Bey
Kusema kuwa mziki wa Rihanna unapendwa zaidi Afrika sio kweli ila mziki wa Rihanna umepasua anga kwa sehemu kubwa duniani tofauti na Beyonce
Rihanna anabamiza mpaka huko U.S
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ