Rihanna vs Beyonce nani ni malkia wa muziki?

Rihanna vs Beyonce nani ni malkia wa muziki?

Beyonce my all time queen🥰
Ile ngoma yake ya best thing I never had
Huwa naiplay hata Mara nne mfululizo
 
Rihanna moto wa kuotea mbali nembo ya Barbados nchi inamtambua.
Jaman rihanna anaparfomane kalii sanaa kwenye stage tena zaidi ya be. Sema be ana fundi mzuri wa nguo.

Hard ft young jeezy.
 
Eti Rihanna ana performance zaidi ya Beyonce labda Beyonce wa Namtumbo
Weeeeee acha kabisa au umemuona rihanna wa ASAP rock ambae yuko busy na family plus biashara zake.
Mtafute rihanna kitu alifanya Rio de genaro (brasil) mwenyewe stejin na sio moja ziko nyingi tuu rihanna na T.I few to mention.

Rihanna ni fire🥰🥰😂
 
Rihanna ni fire[emoji3059][emoji3059][emoji23]
Acha ujinga wako mwaka huu kafanya Superbowl show ya kijinga.

Katafute Superbowl show ya mwaka Jana ya Dr Drew, Eminem, 50 cent, Snoop na Marry J bridge halafu ulete mrejesho
 
Acha ujinga wako mwaka huu kafanya Superbowl show ya kijinga.

Katafute Superbowl show ya mwaka Jana ya Dr Drew, Eminem, 50 cent, Snoop na Marry J bridge halafu ulete mrejesho
We n tutusa mtu mjamzito anakaribia kuingia leba alafu akupe show ya maana.
We mgeni mjini badoo 😂😂😂
 
Kusema kuwa mziki wa Rihanna unapendwa zaidi Afrika sio kweli ila mziki wa Rihanna umepasua anga kwa sehemu kubwa duniani tofauti na Beyonce
Rihanna anabamiza mpaka huko U.S
kwa afrik hasa kibongo bongo rihan mziki wake unasikilizwa sana
beyonce watu wanamjua jina tu ila nyimb zake weng hawazofhm
 
kwa afrik hasa kibongo bongo rihan mziki wake unasikilizwa sana
beyonce watu wanamjua jina tu ila nyimb zake weng hawazofhm
Msitafute excuse kwa kwelii unamaanisha marketing ya beyonce haikuona umuhimu wa kupromote nyimbo zake Africa ila rihanna chini ya jay z mume wa be kaona alafu asimuambie ma msap kuhusu africa.
Kizuri chajiuza that's Rihanna.
 
Usimlinganishe Rihanna (cardilac escalede) na Beyonce(Toyota V8). Tafadhali sana mleta mada muombe msamaha Rihanna.
Duh! huu sasa ni ushabiki! Kama wa timu kiba na Diamond.

Rihanna tunampenda sana, tena Africa ndio tunampenda zaidi. Lakini Bey ni bey aiseee! Bey ni zaidi ya Noma!
 
Back
Top Bottom