Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Kwenye kuperfom wewe unaangalia nini ?
1. Vocal
2. Choreography
3. Creativity ya performance nzima kuanzia dancers, backvocals, staging, lights, storyline, etc
Mkuu unampenda sana Riri ila kwenye performance bado sanaa ndio maana hata kwenye superbowl, watu waliinjoi hitsongs na announcement ya mimba,. Hata alipopeform grammys baada ya miaka mingi, haikuwa news..
Compare to Beychella, ilikuwa big news jinsi alivyofanya cultural representation, reunion ya destiny child, performance na solange & jay Zee, zile customes and bands, vocals, show kubwa na bado alikuwa maternity period etc .
Ukiangalia ile documentary ndo utamuelewa yule mwanamke, she is a beast on stage, riri anaweza kuwa na hits nyingi ila stage wise, bado sana hata kwa gaga au bruno mars