Rihanna vs Beyonce nani ni malkia wa muziki?

Rihanna vs Beyonce nani ni malkia wa muziki?

Duh! huu sasa ni ushabiki! Kama wa timu kiba na Diamond.

Rihanna tunampenda sana, tena Africa ndio tunampenda zaidi. Lakini Bey ni bey aiseee! Bey ni zaidi ya Noma!
Hapa kigezo ni ukali wa nyimbo walizo nazo sio kwa sababu ya jina la mtu
 
Msitafute excuse kwa kwelii unamaanisha marketing ya beyonce haikuona umuhimu wa kupromote nyimbo zake Africa ila rihanna chini ya jay z mume wa be kaona alafu asimuambie ma msap kuhusu africa.
Kizuri chajiuza that's Rihanna.
Watu wanaona kama vile mwanamziki wa U.S.A kupasua anga sehemu kubwa duniani ni jambo la kawaida tu
 
We n tutusa mtu mjamzito anakaribia kuingia leba alafu akupe show ya maana.
We mgeni mjini badoo 😂😂😂
Wakati ule allkuwa na mimba asingeweza kuflow vizuri zipo show zake kali mfano ya Global citizen, Rio, Manchester,
 
Acha ujinga wako mwaka huu kafanya Superbowl show ya kijinga.

Katafute Superbowl show ya mwaka Jana ya Dr Drew, Eminem, 50 cent, Snoop na Marry J bridge halafu ulete mrejesho
Alikuwa na mimba ulitaka aruke majoka ?
 
Rihanna moto wa kuotea mbali nembo ya Barbados nchi inamtambua.
Jaman rihanna anaparfomane kalii sanaa kwenye stage tena zaidi ya be. Sema be ana fundi mzuri wa nguo.

Hard ft young jeezy.
Anajua balaah
 
Rihana mtoto mdogo kwa beyonce. Rihana akasome kwa beyonce, beyonce aliwahi kuwa kiongozi wa kundi la muziki la destiny child. Rihana hajawahi kuwa na kundi la muziki zaidi ya kuimba mwenyewe na wacheza show wake
 
Kwa hiyo kuwa kiongozi wa kundi ndio tayari ni mkali kuliko Riri ? Na kwa nini utake Riri awe na kundi wakati yeye mwenyewe anajiweza na anatisha ?

Hata Beyonce kama kundi lingekuwa na umuhimu kwake angeendelea nalo mbona alitemana nalo sasa ?

Hapa tuna angalia ukali wa ngoma baina yao waiwili sio tuviji kundi.
 
Weeeeee acha kabisa au umemuona rihanna wa ASAP rock ambae yuko busy na family plus biashara zake.
Mtafute rihanna kitu alifanya Rio de genaro (brasil) mwenyewe stejin na sio moja ziko nyingi tuu rihanna na T.I few to mention.

Rihanna ni fire🥰🥰😂

Ahhh 😁😁😁 hapanaa hata Rihanna atakukatalia kwenye stage performance. Angalia Super Bowl ya Beyonce in 2016 halafu linganisha na ya Rihanna 2023.

Angalia live performance zao za grammys yani bey kamuacha mbali riri kama entertainer
 
Kwenye kuperfom wewe unaangalia nini ?
 
Ahhh 😁😁😁 hapanaa hata Rihanna atakukatalia kwenye stage performance. Angalia Super Bowl ya Beyonce in 2016 halafu linganisha na ya Rihanna 2023.

Angalia live performance zao za grammys yani bey kamuacha mbali riri kama entertainer
Show yake alikuwa na mimba
 
Show yake alikuwa na mimba
M nmechoka kujibu alafu iyo superbowl rihanna n mjamzito na dansas tuu while be alikua (sio mjamzito) bruno mars na mwingine jina limenitoka plus dansas tena.
Rihanna n balaaa na ngaii...
 
Back
Top Bottom