Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #61
Maana yake ni kwamba duniani Rihanna ni mkubwa zaidi ya Beyonce, Beyonce ameteka maeneo machache tu tofauti na Ririkwa afrik hasa kibongo bongo rihan mziki wake unasikilizwa sana
beyonce watu wanamjua jina tu ila nyimb zake weng hawazofhm
Kwako wewe performance kali unaitambua vipi ?Bora angesemea angle nyingine lakini kwenye swala la performance Beyonce ni level zingine kabisa
Hapa kigezo ni ukali wa nyimbo walizo nazo sio kwa sababu ya jina la mtuDuh! huu sasa ni ushabiki! Kama wa timu kiba na Diamond.
Rihanna tunampenda sana, tena Africa ndio tunampenda zaidi. Lakini Bey ni bey aiseee! Bey ni zaidi ya Noma!
Watu wanaona kama vile mwanamziki wa U.S.A kupasua anga sehemu kubwa duniani ni jambo la kawaida tuMsitafute excuse kwa kwelii unamaanisha marketing ya beyonce haikuona umuhimu wa kupromote nyimbo zake Africa ila rihanna chini ya jay z mume wa be kaona alafu asimuambie ma msap kuhusu africa.
Kizuri chajiuza that's Rihanna.
Wakati ule allkuwa na mimba asingeweza kuflow vizuri zipo show zake kali mfano ya Global citizen, Rio, Manchester,We n tutusa mtu mjamzito anakaribia kuingia leba alafu akupe show ya maana.
We mgeni mjini badoo πππ
Alikuwa na mimba ulitaka aruke majoka ?Acha ujinga wako mwaka huu kafanya Superbowl show ya kijinga.
Katafute Superbowl show ya mwaka Jana ya Dr Drew, Eminem, 50 cent, Snoop na Marry J bridge halafu ulete mrejesho
Anajua balaahRihanna moto wa kuotea mbali nembo ya Barbados nchi inamtambua.
Jaman rihanna anaparfomane kalii sanaa kwenye stage tena zaidi ya be. Sema be ana fundi mzuri wa nguo.
Hard ft young jeezy.
Riri ni mkali sawa ila naye Beyonce yupo vizuri sio overatedBeyonce is overrated huu mjadala ufungwe
GoodBeyonce
Anajua kutengeneza hitsongsUkimshilikisha Bad girl "Rihana" ujue nyimbo yako imetambulika duniani kwahiyo Rihana ni moto wa kuotea mbali.
Kwa hiyo kuwa kiongozi wa kundi ndio tayari ni mkali kuliko Riri ? Na kwa nini utake Riri awe na kundi wakati yeye mwenyewe anajiweza na anatisha ?Rihana mtoto mdogo kwa beyonce. Rihana akasome kwa beyonce, beyonce aliwahi kuwa kiongozi wa kundi la muziki la destiny child. Rihana hajawahi kuwa na kundi la muziki zaidi ya kuimba mwenyewe na wacheza show wake
Weeeeee acha kabisa au umemuona rihanna wa ASAP rock ambae yuko busy na family plus biashara zake.
Mtafute rihanna kitu alifanya Rio de genaro (brasil) mwenyewe stejin na sio moja ziko nyingi tuu rihanna na T.I few to mention.
Rihanna ni fireπ₯°π₯°π
Kwenye kuperfom wewe unaangalia nini ?Ahhh πππ hapanaa hata Rihanna atakukatalia kwenye stage performance. Angalia Super Bowl ya Beyonce in 2016 halafu linganisha na ya Rihanna 2023.
Angalia live performance zao za grammys yani bey kamuacha mbali riri kama entertainer
Show yake alikuwa na mimbaAhhh πππ hapanaa hata Rihanna atakukatalia kwenye stage performance. Angalia Super Bowl ya Beyonce in 2016 halafu linganisha na ya Rihanna 2023.
Angalia live performance zao za grammys yani bey kamuacha mbali riri kama entertainer
M nmechoka kujibu alafu iyo superbowl rihanna n mjamzito na dansas tuu while be alikua (sio mjamzito) bruno mars na mwingine jina limenitoka plus dansas tena.Show yake alikuwa na mimba
Ni kweli ila ni show gani ya Rihanna inaweza kufikia viwango vya show za Beyonce kama coachella, superbowl and BET 2016Show yake alikuwa na mimba