Rihanna vs Beyonce nani ni malkia wa muziki?

Kwenye kuperfom wewe unaangalia nini ?

1. Vocal
2. Choreography
3. Creativity ya performance nzima kuanzia dancers, backvocals, staging, lights, storyline, etc

Mkuu unampenda sana Riri ila kwenye performance bado sanaa ndio maana hata kwenye superbowl, watu waliinjoi hitsongs na announcement ya mimba,. Hata alipopeform grammys baada ya miaka mingi, haikuwa news..

Compare to Beychella, ilikuwa big news jinsi alivyofanya cultural representation, reunion ya destiny child, performance na solange & jay Zee, zile customes and bands, vocals, show kubwa na bado alikuwa maternity period etc .

Ukiangalia ile documentary ndo utamuelewa yule mwanamke, she is a beast on stage, riri anaweza kuwa na hits nyingi ila stage wise, bado sana hata kwa gaga au bruno mars
 
beyonce yuko juu ya rihanna, full stop
 
Unargue na watoto wadogo wanaotanguliza mbele mahaba badala ya facts.

Usitegemee kueleweka.
 
Duh! huu sasa ni ushabiki! Kama wa timu kiba na Diamond.

Rihanna tunampenda sana, tena Africa ndio tunampenda zaidi. Lakini Bey ni bey aiseee! Bey ni zaidi ya Noma!
Ety! Ushabiki usichokijua Beyonce anachomzidi Rihanna ni sura tu, lakini kwenye mziki hamsogelei hata kidogo tena ameachwa mbali kimafanikio na Rihanna.
 
Ety! Ushabiki usichokijua Beyonce anachomzidi Rihanna ni sura tu, lakini kwenye mziki hamsogelei hata kidogo tena ameachwa mbali kimafanikio na Rihanna.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚King tuko pamoja ila riri n pisi na nusuu kuanzia sura,shape malkia wa nyuki abaki mzingani.
 
Bey habari nyingine japo Riri nae mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…