Rio Ferdinand: Mimi si Mwanasiasa na sijaja Tanzania kuzungumzia siasa, sipangiwi cha kufanya

Rio Ferdinand: Mimi si Mwanasiasa na sijaja Tanzania kuzungumzia siasa, sipangiwi cha kufanya

Kumbe hakuna faida ya kuleta maStaa wa nje. Hata CHADEMA tu inatosha kuibua vipaji.
Keep on acting stupid because it helps you to avoid the most fundamental questions.
NB: Yoyote mwenye solid facts za hao mastaa walivyoinua talents za vijana wetu aziainishe hapa huyu dogo kachemka.
-Si kila anayepinga upuuzi wa Samia na vibaka wenzake yuko affiliated na vyama vya siasa, common sense is not so common.
 
Una nongwa wewe.
Nishakubaliana na wewe kwamba hawa mastaa ujio wao hauna faida kwa vijana wetu. Tuungane kupinga wasije tena. Sasa bado nini ambacho hujaelewa hapo! Au unapenda ligi tu?
Uzuri mmoja hautukani, yawezekana wewe kweli sio CDM
 
Post yako niliitafsiri kama swali, it's cool we are on the same page.
 
Naona Rio Ferdinand amejibu mapigo wakuu baada ya wabongo kumpelekea sana 'moto' huko Instagram

Akizungumza leo jijini Dar amesema kuwa yuko Tanzania kwa ajili ya kazi ya kusaka vipaji na kwamba ana uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kupangiwa na mtu yeyote.

"Sababu yangu pekee, sababu yangu binafsi, na msimamo wangu kabla sijaja hapa ulikuwa ni kitu ambacho siku zote ni cha kweli kwangu: na hiyo ilikuwa ni kuja kusaidia kuwatia moyo vijana na kizazi kipya kupitia mchezo ninaoupenda ambao ni mpira wa miguu. Na hilo halitabadilika kamwe.

Kwa hiyo tena, napenda kusisitiza pia; mimi si mwanasiasa. Siko hapa kuzungumzia siasa. Sijawahi kufanya hivyo katika nchi yangu mwenyewe, na nisingefanya hivyo popote pengine. Lakini lazima nisisitize tena, vijana wanastahili kutiwa moyo. Nilicheza kwenye ligi, nilicheza katika enzi ambayo wachezaji wa Kiafrika walikuwa sehemu kubwa ya mfumo huo"

Mpaka kuongea haya nadhan amejifunza na asipokua makin wabongo watampiga spana mnoo 🤣 🤣 😂 🤣
 
Back
Top Bottom