Rio Ferdinand: Mimi si Mwanasiasa na sijaja Tanzania kuzungumzia siasa, sipangiwi cha kufanya

Rio Ferdinand: Mimi si Mwanasiasa na sijaja Tanzania kuzungumzia siasa, sipangiwi cha kufanya

Kipaji gani anatafuta na kuishi bongo penyewe ni kipaji tosha. Wabongo wameanza kuelewa mambo yalivyo. Wabongo sasa hivi kama adui yetu tunammudu, tunamalizana nae haina haja tumwachie mungu
 
Watanufaika vipi wakati mnawaua au mnapanga kunufaisha maiti zao ambazo na zenyewe mnazificha kusikojulikana?
Mmemleta kwa sababu ya sportswashing but we're some steps ahead of your dirty sportswashing politics, it's not gonna work.
Hizo kelele za chura tu, lkn ht nyie mnajua kabisa nguvu ya mastaa kuinua vipaji vya vijana wetu. Sasa nyie zuieni vijana wenu wabaki kuandaa maandamano.
 
Rio anaishi UK na bado anajua uku afrika bado giza ingawaje kweli giza halijatoka lote ila hana uwezo wa kudanganya wa afrika.tunajua rio hana kampun yakusaka vipaji,alishawai kukili kufilisika,hana rekodi yakumpeleka mt ulaya kimichezo na mbaya zaid waliomleta ndio changamoto na mbaya zaidi kaja kipindi kibaya zaid

mkuu Rio anaishi Dubai alihamia miaka ya karibuni. Na suala kupeleka mtu ulaya au arabuni kwahadhi yake hizo connection anazo bila ya shida yoyote
 
IMG-20260524-WA0014.jpg
 
CCM ndio wenye Serikali wenyewe wanajua jinsi ya kuwatumikia wapigakura wao

nyinyi Chadema mnasumbuka nanini!!

WAZIRI wetu fanya kweli waje tu kina Ronaldo Messi nk.

Wa Tanzania wajifunze kitu kutoka kwao magwiji..
 
Naona Rio Ferdinand amejibu mapigo wakuu baada ya wabongo kumpelekea sana 'moto' huko Instagram

Akizungumza leo jijini Dar amesema kuwa yuko Tanzania kwa ajili ya kazi ya kusaka vipaji na kwamba ana uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kupangiwa na mtu yeyote.

"Sababu yangu pekee, sababu yangu binafsi, na msimamo wangu kabla sijaja hapa ulikuwa ni kitu ambacho siku zote ni cha kweli kwangu: na hiyo ilikuwa ni kuja kusaidia kuwatia moyo vijana na kizazi kipya kupitia mchezo ninaoupenda ambao ni mpira wa miguu. Na hilo halitabadilika kamwe.

Kwa hiyo tena, napenda kusisitiza pia; mimi si mwanasiasa. Siko hapa kuzungumzia siasa. Sijawahi kufanya hivyo katika nchi yangu mwenyewe, na nisingefanya hivyo popote pengine. Lakini lazima nisisitize tena, vijana wanastahili kutiwa moyo. Nilicheza kwenye ligi, nilicheza katika enzi ambayo wachezaji wa Kiafrika walikuwa sehemu kubwa ya mfumo huo"


Wtong time , wrong oppurtunity, wrong company.
 
Hizo kelele za chura tu, lkn ht nyie mnajua kabisa nguvu ya mastaa kuinua vipaji vya vijana wetu. Sasa nyie zuieni vijana wenu wabaki kuandaa maandamano.
Nionyeshe vijana walioinuliwa vipaji na hao mastaa wako kama wapo na mimi nikuonyeshe vijana mliowaua.
Huyo mbwiga ameletwa kufanya sportswashing and the good news is that the shit has backfired.
IMG_20260524_192329.jpg
IMG_20260524_192346.jpg
IMG_20260524_192402.jpg
IMG_20260524_192459.jpg
IMG_20260524_192540.jpg
 
Sio mwanasiasa lakini waliomleta wanamtumia kisiasa kwahiyo automatically anaangukia kwenye siasa
 
Haya lete hapa majina ya hao waliouawa
Mwambie chawa mzee huyo Chande wenu, si amewatajia idadi mbele ya Mwajuma nchokonoe wa Kizimkazi nini liliwazuia kumuuliza majina?
Haya unaweza kunipa idadi ya talents zilizoibuliwa na hao superstars wa Makonda na vilabu wanavyochezea?
 
Mwambie chawa mzee huyo Chande wenu, si amewatajia idadi mbele ya Mwajuma nchokonoe wa Kizimkazi nini liliwazuia kumuuliza majina?
Haya unaweza kunipa idadi ya talents zilizoibuliwa na hao superstars wa Makonda na vilabu wanavyochezea?
Kumbe hakuna faida ya kuleta maStaa wa nje. Hata CHADEMA tu inatosha kuibua vipaji.
 
Back
Top Bottom