Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Okt 29 uliharibiwa Mali na wale wahuni wa chadema na kitima & co. kama ilivyowatokea kina billnas na shishi?!!! Ulipigwa na kukatwa vidole na wafuasi wa chadema na kitima & co kama wale wanyonge wasio na hatia?!!!Priorities, priorities and priorities. First and foremost kama kweli tunawathamini na kuwajali vijana wetu tuanze kuwalinda wasitekwe, wasilawitiwe na pia wasiuawe kiholela. Sina uhakika na uwezo wako kuweka mizania kwenye ninachokiongelea hapa na hii sportswashing inayofanywa na majambazi akina Samia, Makonda na wahuni wenzao.
Literally they're trying to use sports to rehabilitate their tarnished reputation and distract y'all who can't reason critically.
Tafadhali kama kimya!!