M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Currently tuko vitani, wakombolewe wananchi kutoka katika mateso na maisha ya hofu then hayo mengine yatafuata kwa namna priorities zilivyo.So ht kama anakuja superstar yeyote yule kusaidia vipawa vya vijana wetu huyo kwenu adui tu!
Ndo nikauliza kwa akili hizi mwamkomoa nani sasa!