Rio Ferdinand: Mimi si Mwanasiasa na sijaja Tanzania kuzungumzia siasa, sipangiwi cha kufanya

Rio Ferdinand: Mimi si Mwanasiasa na sijaja Tanzania kuzungumzia siasa, sipangiwi cha kufanya

Naona Rio Ferdinand amejibu mapigo wakuu baada ya wabongo kumpelekea sana 'moto' huko Instagram

Akizungumza leo jijini Dar amesema kuwa yuko Tanzania kwa ajili ya kazi ya kusaka vipaji na kwamba ana uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kupangiwa na mtu yeyote.

"Sababu yangu pekee, sababu yangu binafsi, na msimamo wangu kabla sijaja hapa ulikuwa ni kitu ambacho siku zote ni cha kweli kwangu: na hiyo ilikuwa ni kuja kusaidia kuwatia moyo vijana na kizazi kipya kupitia mchezo ninaoupenda ambao ni mpira wa miguu. Na hilo halitabadilika kamwe.

Kwa hiyo tena, napenda kusisitiza pia; mimi si mwanasiasa. Siko hapa kuzungumzia siasa. Sijawahi kufanya hivyo katika nchi yangu mwenyewe, na nisingefanya hivyo popote pengine. Lakini lazima nisisitize tena, vijana wanastahili kutiwa moyo. Nilicheza kwenye ligi, nilicheza katika enzi ambayo wachezaji wa Kiafrika walikuwa sehemu kubwa ya mfumo huo"


Machadema yalitaka yampangie Cha kufanya ,kusema utafikiri yanamlisha.

Safi sana Rio
 
Msukuma kashawasukumia moto Bungeni pale, Rio Ferdinand ndio nani...?
 
Tunahitaji Huduma yake ,umaarufu wake kuitangaza Nchi na hapo anapata hela.

Nyie Chadomo mumpangie kama kina nani hasa? Bashite amesemasije shangaa kumuona Ronaldo.
Mnaweza twambia, Taifa tumepata faida gani mpaka sasa katika hayo uliyoyataja. Na hizo hela mmempa shi ngapi kutoka wapi?
 
Nyie watu ni mapunguani,
Huyo mtu hajui hata hizo siasa amejikuta kazongwa tu na wanasiasa na ratiba kibao zisizoeleweka,
Mbona kasema hapangiwi huku kuna boya moja linadai limemwambia asipost.
Kaeleza kila kitu na akiondoka atawatukana washamba sana nyie.
 
Naona Rio Ferdinand amejibu mapigo wakuu baada ya wabongo kumpelekea sana 'moto' huko Instagram

Akizungumza leo jijini Dar amesema kuwa yuko Tanzania kwa ajili ya kazi ya kusaka vipaji na kwamba ana uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kupangiwa na mtu yeyote.

"Sababu yangu pekee, sababu yangu binafsi, na msimamo wangu kabla sijaja hapa ulikuwa ni kitu ambacho siku zote ni cha kweli kwangu: na hiyo ilikuwa ni kuja kusaidia kuwatia moyo vijana na kizazi kipya kupitia mchezo ninaoupenda ambao ni mpira wa miguu. Na hilo halitabadilika kamwe.

Kwa hiyo tena, napenda kusisitiza pia; mimi si mwanasiasa. Siko hapa kuzungumzia siasa. Sijawahi kufanya hivyo katika nchi yangu mwenyewe, na nisingefanya hivyo popote pengine. Lakini lazima nisisitize tena, vijana wanastahili kutiwa moyo. Nilicheza kwenye ligi, nilicheza katika enzi ambayo wachezaji wa Kiafrika walikuwa sehemu kubwa ya mfumo huo"


Lakini anatumika kisiasa. Angeendesha clinic za mpira angeeleweka lakini hili la kwenda Bungen..... Alitakiwa astuke kuwa anatumika.

Amandla...
 
Yuko nchini, chukuwachakomapema na genge lao la wahuni wamemteka, kumtesa mwanachama wa chama kinzani kweupe!
Kama mwanaspoti na figure head in the world of sport unayasoma hayo na kusikia na bado husemi lolote, BASI MA COCAINE BADO YAKO KICHWANI MWAKO!
ATOKE ZAKE HAPA!
 
Kwa mtazamo wangu waliompangia hiyo speech wamemkosea,

Kama si mwanasiasa kwanini amekuja kwa mwaliko wa wanasiasa?

Tanzania hatuna mamlaka za mpira wa miguu?

Tuseme wanasiasa waliiona fursa ya kumualika, lakini ili kukwepa huu mtego wa kisiasa alipaswa amwe mgeni wa mamlaka za michezo na si mgeni wa wanasiasa, over.
 
So ht kama anakuja superstar yeyote yule kusaidia vipawa vya vijana wetu huyo kwenu adui tu!
Ndo nikauliza kwa akili hizi mwamkomoa nani sasa!
rio hajaja mwenyewe kaletwa, na alitakiwa kukataa kuletwa kwa yaliyotokea octoba 29
 
Jaji Warioba ni CHADEMA?
Dah, mkuu Kiranga!!!! Unauliza ufugaji wa ndevu Afghanistan?!!!!!!!

Huyo ni kama lwaitama tu, mwanzoni alikataa weee kuwa yeye si chadema lakini hivi tunavyoongea ni mmoja wa wazee wa Baraza wa chadema.🤣🤣
Lakini mzee warioba tuachane nae, Hana issue.......ni mmoja ya wazee waliofeli Sasa anataka Kila mtu afeli kama alivyofeli yeye, ana hasira na waliompita na wanaompita. Kwa kifupi hako kazee kamechanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom