Rio Ferdinand: Mimi si Mwanasiasa na sijaja Tanzania kuzungumzia siasa, sipangiwi cha kufanya

Rio Ferdinand: Mimi si Mwanasiasa na sijaja Tanzania kuzungumzia siasa, sipangiwi cha kufanya

Mpo vitani! So hamtaki ht mastaa waje kuwainua vijana wetu!
Haiwezekani kumaliza hiyo vita kama mtaendelea kudhibiti vijana wasisaidiwe kukuza vipaji vyao
Bro kukuza vipaji ni kitu kikubwa, ila kumbuka mashabiki ndo wakufanya uwe mkubwa hao hao wanatumika kama leverage kwa mwenye kipaji kupata endorsement ila sasa akiwa mkubwa anawakana mashabiki anaside na corrupt system utasikia namshukuru mama na bullshit nyingine sio asante watu wangu

kwa hiyo kila siku watu wana kazi ya kugroom tuu everyday mko amature unaona hiyo circle ilivyo mbovu unlike nchi nyingine mfano Omondi and the likes has been there since day one but in Tanzania things are different mimi naona kila mtu tu afanye yake Pumbavu
 
Naona Rio Ferdinand amejibu mapigo wakuu baada ya wabongo kumpelekea sana 'moto' huko Instagram

Akizungumza leo jijini Dar amesema kuwa yuko Tanzania kwa ajili ya kazi ya kusaka vipaji na kwamba ana uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kupangiwa na mtu yeyote.

"Sababu yangu pekee, sababu yangu binafsi, na msimamo wangu kabla sijaja hapa ulikuwa ni kitu ambacho siku zote ni cha kweli kwangu: na hiyo ilikuwa ni kuja kusaidia kuwatia moyo vijana na kizazi kipya kupitia mchezo ninaoupenda ambao ni mpira wa miguu. Na hilo halitabadilika kamwe.

Kwa hiyo tena, napenda kusisitiza pia; mimi si mwanasiasa. Siko hapa kuzungumzia siasa. Sijawahi kufanya hivyo katika nchi yangu mwenyewe, na nisingefanya hivyo popote pengine. Lakini lazima nisisitize tena, vijana wanastahili kutiwa moyo. Nilicheza kwenye ligi, nilicheza katika enzi ambayo wachezaji wa Kiafrika walikuwa sehemu kubwa ya mfumo huo"

22 May 2026
Dar es Salaam, Tanzania

Rio Ferdinand accussed of 'sportswashing' after he publicly backed controversial Tanzanian government​

Story by Will Pickworth

Former Man United and England defender Rio Ferdinand has been accused of sportswashing after appearing to support Tanzania's controversial government.

Rio Ferdinand hits back at critics of his Tanzania visit: "I'm not a politician, no one tells me ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=afmVtZe0C8U

Ferdinand, 47, was reportedly hosted on a visit to the country by culture and sports minister Paul Makonda, who the US government sanctioned in 2020 for 'gross violations of human rights'.

Among the accusations levelled at Makonda, he has reportedly launched anti-gay crackdowns in the past, including a surveillance squad dedicated to hunting down gay people in Tanzania.

Makonda's wife was also banned by the US government and speaking about his actions, they said: 'He has been implicated in oppression of the political opposition, crackdowns on freedom of expression and association, and the targeting of marginalised individuals.'

At a reception following his arrival in the country, which generated much fanfare and saw the former United defender draped in a Tanzanian flag, Ferdinand had referred to Makonda as 'my good friend Paul'.

He said: 'Tanzania are making strides to become a global powerhouse of football and they need the support. It’s a massive achievement to be part of that (Afcon) and to inspire the next generation.

Rio Ferdinand has been accused of sportswashing after appearing to support Tanzania's government (second right - sanctioned culture and sports minister Paul Makonda)

Rio Ferdinand has been accused of sportswashing after appearing to support Tanzania's government (second right - sanctioned culture and sports minister Paul Makonda)
Ferdinand's arrival in Tanzania created  much fanfare and he was draped in the country's flag

Ferdinand's arrival in Tanzania created much fanfare and he was draped in the country's flag
'You have to come, you have to meet people. My good friend Paul here, we have been speaking on the (phone), it has not just happened overnight, and we have to prepare a plan for when I’m here to see things and experience things and then start cooking up some good ideas.'

His visit to the country was part of Tanzania's attempts to use the profile of former Premier League stars ahead of the 2027 Africa Cup of Nations, which will be hosted by them, Kenya and Uganda.

Meanwhile, Tanzania's government have previously been accused of significant human rights abuses when hundreds of protestors were killed last year in the aftermath of the general election.

President Samia Suluhu Hassan was 're-elected' with 98 per cent of the vote, a result that opposition parties described as a 'mockery' of democracy after her main challengers were excluded.

Hassan had insisted the election was fair and transparent and accused foreigners of inciting the violence as part of attempts to overthrow her.

However, the African Union and the southern Africa bloc SADC claimed the election had fallen short of democratic standards.

A request to visit from the European Union to investigate allegations of election abuses and repression was also denied by the government.

Amnesty International UK's director of campaigns Felix Jakens told The Times: 'Amnesty International has been closely monitoring a deeply troubling human rights situation in Tanzania, where security forces used unlawful lethal force against protesters in late 2025, killing and injuring hundreds.

'Against that backdrop, Rio Ferdinand should be speaking up against the rights violations happening there, not lending his profile in support of the government.

'His host, minister Paul Makonda, was sanctioned by the US government for gross human rights violations - and yet Ferdinand’s presence risks rehabilitating Tanzania’s international image while those responsible for recent abuses face no accountability.

'Celebrity visits don’t happen in a vacuum - they send a message - and this has all the hallmarks of sportswashing. We urge Ferdinand to speak out about these abuses and to use his platform responsibly.'

Ferdinand pictured with wife Kate. The pair are based in Dubai after leaving the UK last August

Ferdinand pictured with wife Kate. The pair are based in Dubai after leaving the UK last August
Makonda (pictured in 2017) was sanctioned for 'gross violations of human rights' in 2020

Makonda (pictured in 2017) was sanctioned for 'gross violations of human rights' in 2020
When contacted for comment by The Times, Ferdinand's representative insisted he was unaware if his client was being paid, and said that he was invited by Hassan rather than Makonda.

The representative also claimed Ferdinand was there to help support African football development ahead of next year's tournament.

Ferdinand was in the country for three days and he was said to visit the capital city Dodoma via train with Makonda, while he also took a trip to the Tanzanian parliament and the Serengeti National Park.

Daily Mail Sport contacted Ferdinand's representative for comment
 
Maisha lazima yaendelee.

Hatuwezi kuwa tunaacha kila kitu kila siku ni kulilia tu OCT 29.

Chadema mnaishi kwa kutegemea siasa hilo ndio tatizo.
 
Michezo ina siasa pia hapo anafanya sportswashing. Anawasafisha watawala wa Tanzania kwa kutunia nichezo.

Ina maana kaja bila kuchunguza siasa za Tanzania na nini kimetokea October 29 2025?

Ni mjinga hivyo?
Tahadhali tu mkuu, isije kuwa wewe ndo mjinga katika hili?!!! Unasagwa na ajenda mfu a.k.a uozo za chadema bila kujijua. Hao Wana hasira zao baada ya mpango wao wa kuigawa nchi kupitia vurugu walizoziandaa za vijana wa kitanzania na kikenya kukwama okt 29.
 
Samahani, umeolewa?!!!
No wonder chawa wote ni machoko na wewe ukiwa miongoni mwa hao machoko.
Is this the best you could come up with? Mmekaa mkajadiliana hapo Lumumba then you came with according to you is the most brilliant question to ask.
 
Hao waliomualika ni maadui na wanaotumika to clean up the smelly mess nao ni maadui vilevile. He should have done a proper research before getting involved with the tyrants. He is gonna learn the hard way, let him pay the price.
Sawa .ila yeye hajui.
Mambo yenu.
Kumuingiza kwenye masuala ya siasa ni kumkosea.
Rio sio mwanasiasa.
Nyie mtafuteni muliro,chalamila,mafwele mmalizane nao.ila sio rio
 
Tahadhali tu mkuu, isije kuwa wewe ndo mjinga katika hili?!!! Unasagwa na ajenda mfu a.k.a uozo za chadema bila kujijua. Hao Wana hasira zao baada ya mpango wao wa kuigawa nchi kupitia vurugu walizoziandaa za vijana wa kitanzania na kikenya kukwama okt 29.
Jaji Warioba ni CHADEMA?
 
Ataondoka tu, kwan kasema anaipenda TZ kuliko UK. Na akiondoka ndo mtakuwa mmemkomoa nani sasa

Kwani hata akibakia ana faida kwa nani, zaidi ya kutupatia hasara ya kuendelea kutafuna hela inayoibwa na hayawani wauaji waliomleta?
 
CAF nao watafanya sports washing kwa Tanzania watakapokua wenyeji wa afcon?..muwe mnatumia akili vizuri wacenge nyinyi,kila kitu siasa,hao marekani wamesaini na tz kuchimba gas Lindi tena ilikua disemba,na Ile ni business washing?

Acha iropokaji. Mswada wa Senete ya Marekani umetamka wazi kuwa kampuni zote za Marekani au zenye uhusiamo na Maeekani zitatakiwa kuondoka Tanzania. Marekani haitaki kwa namna yoyote ile kushirikiana na wauaji wa Watanzania.
 
Utakuwa ni mtu mpumb.avu kabisa, mtu aue watoto wako, aue wadogo zako, aue wazazi wako, halafu muuaji huyo huyo kesho aje na mtu anakuambia kuwa nimekuletea huyu mtu, atakuwa msaada kwa familia, halafu na wewe unaamini. Utakuwa huna akili kabisa kuliamini hilo.

Hawa wauaji wa Watanzania, hawana lolote jema wanalolifikiria kwaajili ya Watanzania zaidi ya kuwaibia Watanzania, na anayepinga wizi wao, wanachofikiria ni kumtafuta ili wamwue. Hata ukaona wametenda jema, hawafanyi kwa dhamira njema.
Wataleta mradi wa maji wa gharama halisi ya bilioni 2, lakini watauleta kwa gharama fake ya bilioni 20. Ukiwa huna akili, kwa sababu huna uelewa, utashangilia kwa kuamini wanakupenda ndiyo maana wamekuletea maji, kumbe mradi wa maji umetumika kama njia ya kuiba bilioni 18.
 
ina maana mpaka Sasa hamjawajua adui zenu?.
Huyo kaalikwa tu.
spana wapigeni waliomualika na walio waua ndugu zenu sio yeye.

Mtu ambaye una akili timamu, mwenye hekima, kamwe huwezi kupata mwaliko wa jambazi linaloua watu, nawe ukaitikia mwaliko.

Si umeona nunge la Seneti la Marekani, wawekezaji wake walialikwa na hawa watu kabla ya mauaji, baada ya mauaji, sasa wanajadili pendekezo la kutaka kampuni yoyote ya Marekani au yenye uhusiano na Marekani, iliyopo Tz itatakiwa kuondoka, kwa sababu mwekezaji ni lazima ashirikiane na Serikali, serikali iliyopo ni ya wauaji na madhulumati! Mtu mwema huwezi kushirikiana na dhulumati.
 
Kabla ya rio Kuja tanzania.unajua Kuna watu wangapi wamekuja?.
Ambao ni viongozi wa nchi?.
Juzi juzi alialikwa William ruto unakumbuka?
Mlifanya nini?
Watanzania tuna matatizo ya akili na mihemko
 
Acha iropokaji. Mswada wa Senete ya Marekani umetamka wazi kuwa kampuni zote za Marekani au zenye uhusiamo na Maeekani zitatakiwa kuondoka Tanzania. Marekani haitaki kwa namna yoyote ile kushirikiana na wauaji wa Watanzania.
Ndiyo unavyojidanganya!?
 
Rio anaishi UK na bado anajua uku afrika bado giza ingawaje kweli giza halijatoka lote ila hana uwezo wa kudanganya wa afrika.tunajua rio hana kampun yakusaka vipaji,alishawai kukili kufilisika,hana rekodi yakumpeleka mt ulaya kimichezo na mbaya zaid waliomleta ndio changamoto na mbaya zaidi kaja kipindi kibaya zaid
 
😄😄😄

Mpaka ana fanya press seems kapangiwa Cha kuzungumza sijui kalipwa sh.ngapi huyo mbwa

Kweli ule msemo mnaoutumiaga Leo nimeuamini rasmi

Kila mtu ana nunulika tatizo ni bei
KAFIKA BEI MSHAMBA HUYU.

ILA CCM WANACHEZEA PESA SANA, HAPA PESA ILIYOMWAGWA NI NDEFU MAZEE.
 
Hata Dangote alichekecha sanaaaa, Akaona hmm Bongo imechafuka kisiasa akaamua kuitakasa Biashara yake akapita kushoto.
 
So ht kama anakuja superstar yeyote yule kusaidia vipawa vya vijana wetu huyo kwenu adui tu!
Ndo nikauliza kwa akili hizi mwamkomoa nani sasa!
"Mwamkomoa nani?" We ni jinsia gani kwani?
 
Naona Rio Ferdinand amejibu mapigo wakuu baada ya wabongo kumpelekea sana 'moto' huko Instagram

Akizungumza leo jijini Dar amesema kuwa yuko Tanzania kwa ajili ya kazi ya kusaka vipaji na kwamba ana uhuru wa kufanya maamuzi yake bila kupangiwa na mtu yeyote.

"Sababu yangu pekee, sababu yangu binafsi, na msimamo wangu kabla sijaja hapa ulikuwa ni kitu ambacho siku zote ni cha kweli kwangu: na hiyo ilikuwa ni kuja kusaidia kuwatia moyo vijana na kizazi kipya kupitia mchezo ninaoupenda ambao ni mpira wa miguu. Na hilo halitabadilika kamwe.

Kwa hiyo tena, napenda kusisitiza pia; mimi si mwanasiasa. Siko hapa kuzungumzia siasa. Sijawahi kufanya hivyo katika nchi yangu mwenyewe, na nisingefanya hivyo popote pengine. Lakini lazima nisisitize tena, vijana wanastahili kutiwa moyo. Nilicheza kwenye ligi, nilicheza katika enzi ambayo wachezaji wa Kiafrika walikuwa sehemu kubwa ya mfumo huo"

Go to hell!
 
Back
Top Bottom