Rio Ferdinand: Mimi si Mwanasiasa na sijaja Tanzania kuzungumzia siasa, sipangiwi cha kufanya

Rio Ferdinand: Mimi si Mwanasiasa na sijaja Tanzania kuzungumzia siasa, sipangiwi cha kufanya

Kwani hata akibakia ana faida kwa nani, zaidi ya kutupatia hasara ya kuendelea kutafuna hela inayoibwa na hayawani wauaji waliomleta?
Mi nilichosikia amekuja kutangaza utalii wa tz
 
So ht kama anakuja superstar yeyote yule kusaidia vipawa vya vijana wetu huyo kwenu adui tu!
Ndo nikauliza kwa akili hizi mwamkomoa nani sasa!
Nafikiri waliomleta ndio tatizo kwa vijana. Yaani wale waliowaumiza na kuua vijana wenzao leo wanakuja na mtu anasema anakuja kuwasaidia.
Angekuja peke yake sidhani kama ingeleta negative vibe.
 
Kwanza nashangaa Makonda anahangaika na mpiga fegi huyu wa man U.
Na angalizo kwa Makonda asije kutumia zile bilion 200 za vijana kwa kuwasafirisha wahuni eti kupretend kama mabalozi , balozi gani huyu si bora hata Saka
 
Dah, mkuu Kiranga!!!! Unauliza ufugaji wa ndevu Afghanistan?!!!!!!!

Huyo ni kama lwaitama tu, mwanzoni alikataa weee kuwa yeye si chadema lakini hivi tunavyoongea ni mmoja wa wazee wa Baraza wa chadema.🤣🤣
Lakini mzee warioba tuachane nae, Hana issue.......ni mmoja ya wazee waliofeli Sasa anataka Kila mtu afeli kama alivyofeli yeye, ana hasira na waliompita na wanaompita. Kwa kifupi hako kazee kamechanganyikiwa.
Jadili hoja usijadili nani CHADEMA, nani nani.

Ukijadili watu hivyo ni ishara ya akili ndogo, kilatini unaenda kwenye ad hominem logical fallacy.

Unaelewa ad hominem logical fallacy ni nini?
 
Kaja kuibua vipaji,hivyo vipaji sijui kuna program gani kaifanya kaona/kaibua vipaji

Ova
 
So ht kama anakuja superstar yeyote yule kusaidia vipawa vya vijana wetu huyo kwenu adui tu!
Ndo nikauliza kwa akili hizi mwamkomoa nani sasa!
Priorities, priorities and priorities. First and foremost kama kweli tunawathamini na kuwajali vijana wetu tuanze kuwalinda wasitekwe, wasilawitiwe na pia wasiuawe kiholela. Sina uhakika na uwezo wako kuweka mizania kwenye ninachokiongelea hapa na hii sportswashing inayofanywa na majambazi akina Samia, Makonda na wahuni wenzao.
Literally they're trying to use sports to rehabilitate their tarnished reputation and distract y'all who can't reason critically.
 
Jadili hoja usijadili nani CHADEMA, nani nani.

Ukijadili watu hivyo ni ishara ya akili ndogo, kilatini unaenda kwenye ad hominem logical fallacy.

Unaelewa ad hominem logical fallacy ni nini?
Sielewi chochote kuhusu lugha za kilatini.....shule, kiukweli, imenipiga chenga.....ila shule ya ulimwengu wangu (elimu Dunia) inanilazimisha kuitaja chadema linapokuja suala la kumchukia Samia, kuchukua wazanzibar, uzushi, kumchukia Kikwete n.k sababu ndiyo ajenda yao kuu (ninaapa unalijua hilo). Ukinikataza kumtaja Mtume Muhammad kuwataja tunapojadili Uislamu nitakushangaa.
 
Back
Top Bottom