fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,027
Jiangalie sana kijana, pia tengua hii kauli ya tunataka sema wewe unataka.Sisi kwa unafiki hatujambo. Watu wanawaponda gays wakati wanawageuza wake zao.
Ndo maana hatuendelei, tunataka huku wakati tunasema hivi, wapi na wapi.