TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

Unaweza tueleza hapa pia au huwezi..
Lengo ni Nini? Siyo kila kitu ni Cha ku-share publicly.

Je, wewe ni ndugu yake wa karibu na wa damu na marehemu? Ni mzazi wake?

Kama wewe ni mzazi wake na marehemu, Basi unaweza kuja 'chemba' ukiwa na uthibitisho wote kabisa wa kuthibitisha kwamba ni kweli wewe ni mzazi wa mhusika, unaweza ukasaidiwa Mambo kadhaa wa kadhaa.
 
Back
Top Bottom