TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

Ndugu Zangu usimuamini mtu,haijulikani hao waliomuua walikuwa na ajenda gani Kwa kijana mdogo hivi...Kijana alikuwa mstaarabu sana,aliweza kutengeneza kazi zake nzuri sana na mavazi.
Duniani watu Wana wivu mbaya sana..
Pole Kwa Wanafamilia wote,pole sana Kwa Wanachalinze wote , Classmates wake na Viongozi wengine wote wa Nchi hii waliofanya kazi nae Kwa kuondokewa na kijana Oscar Mtweve.
 
Carasco Putin classmate njoo upokee pole.
 
uyu mwamba juzi kuna mwenyekiti wa uvccm mkoa fudenge niliona kampost kua amepotea yapata siku ya tatu. Nashangaa kukuta taarfa amefark! Cjui nini kimempata uyu kijana. R.I.P
Upinzani wameanza kuteka watu?au wao Kwa kwao wanatekana?
 
Back
Top Bottom