TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

uyu mwamba juzi kuna mwenyekiti wa uvccm mkoa fudenge niliona kampost kua amepotea yapata siku ya tatu. Nashangaa kukuta taarfa amefark! Cjui nini kimempata uyu kijana. R.I.P
John Wickzer Mulholland
Hiki ndicho kilitokea Kwa kijana mwenzetu,na hata Twitter Tangazo lake la kupotea lilipostiwa, inasemekana alikuwa amepigwa mpaka umauti ukamkuta..
 
Kisa cha kutekwa na kupgwa had umauti n nin? Funguken mnaogopa nn? Toeni ata code tuelewe
Kila mtu yupo njia panda Mkuu,haileweki shida ilikuwa Nini...Maana alipotea tu mpaka kila mtu akawa hajui alipo ndio akakutwa Amefariki Kwa kupigwa sana...
Nadhani JF Huku Kuna watu wengi,kama Kuna watu wanajua zaidi wanaweza kutupa kilichotokea...
 
Back
Top Bottom