Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Hilo jina lilinishitua kuna jamaa alikuwa akiitwa Oscar Mtweve kule karibu na Masimbwe Ludewa sehemu wanaita Mselesele. Ila nilivyoangalia picha ni kama sio yeye.Mpangwa wa Ludewa Njombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jina lilinishitua kuna jamaa alikuwa akiitwa Oscar Mtweve kule karibu na Masimbwe Ludewa sehemu wanaita Mselesele. Ila nilivyoangalia picha ni kama sio yeye.Mpangwa wa Ludewa Njombe
Unaweza kukuta Mbio za ubunge zimeanza huko Ludewa kwa akina Masanja Mkandamizaji 🤣🤣Hilo jina lilinishitua kuna jamaa alikuwa akiitwa Oscar Mtweve kule karibu na Masimbwe Ludewa sehemu wanaita Mselesele. Ila nilivyoangalia picha ni kama sio yeye.
Mkuu unataka kusemaje hapo chini?Poleni ndugu , Jamaa na Marafiki...Poleni CCM Jimbo la Chalinze.
M.A.P O.M
Kijana huyu alikuwa anasumbuliwa na nini?Nimepokea kwa masikitiko Makubwa sana taarifa za Kifo cha Huyu Rafiki yangu na mwana JF mwenzetu.
Dunia tunapitia ama kweli[emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 2732894View attachment 2732895
Ulisoma msolwa secondary? Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu wa kwanza msolwa kabla hata hatujapangiwa madarasa form oneR.I.P CLASSMATE
HahahahaaWatu tupo msibani jamani hebu mjiheshimu.
Usiwe kilaza wewe. Any Tanzanian graduate is presumed to be a Jf member.Mwana Jamii Forums ni yule anayetambulika na watumiaji kwa ID yake iwe real au fake. Kwa hapa tuseme apumzike kwa amani Oscar Mtweve kama wewe ulivyotutambulisha.
ChawaNdio nani?
kasome kanuni za JFI'd yake ya jf mbona hamsemi.
Sioni ubaya wowote life is ILLUSION wengine hatuna hata watu wa kututokea taarifa....Apumzike kwa amani.
Kama hakutaka kujianika humu kwanini wewe umuanike? Matakwa ya watu yaheshimiwe hata mauti yao.
Alikuwa Chawa wa Mama...Ndio nani?