Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Najua tuKuna kitu ningesema ila ngoja nitumie hekima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua tuKuna kitu ningesema ila ngoja nitumie hekima
Sio muhehe huyu possible Mbena au MkingaMuhehe wa wapi huyu mkoani Iringa ?
Kama hajawahi kukataza sioni tatizo...Apumzike kwa amani.
Kama hakutaka kujianika humu kwanini wewe umuanike? Matakwa ya watu yaheshimiwe hata mauti yao.
Kabila la wakinga hilo..Muhehe wa wapi huyu mkoani Iringa ?
Leo ndo nimekubali rasmi tuhuma za ridhiwani kama kweli huyu alikua msaidizi wakeAlikuwa msaidizi wa Ofisi ya Mbunge wa Chalinze.
Seems ni mgeni humu jukwaaniUlisoma msolwa secondary? Huyu jamaa alikuwa rafiki yangu wa kwanza msolwa kabla hata hatujapangiwa madarasa form one
Mkuu nimecheka sana kwa kweli...kwani mtu kufa ni mpaka asumbuliwe na jambo??
Hivi wewe Marehemu wote ni classmates wako?R.I.P CLASSMATE
Amerudia sana shule ndo maana,Hivi wewe Marehemu wote ni classmates wako?
Unamaanisha kolimba?Kijana wa Riz Moko, Msoga huko
Hapana, ma ccm nyoote mnaenda motoni moja kwa moja!.Maneno ya kukosa hekima na kukufuru thamani ya mwanadamu...
Juu ya minyukano yetu ya kisiasa tukifa hatwendi Lumumba wala mtaa wa ufipa.....
Atakuwa chawa tu.Ndio nani?
Nakijua hicho kitu,lakini umefanya vzr kutosemaKuna kitu ningesema ila ngoja nitumie hekima
Kwamba Riz1 anatabia za kihanithi?Leo ndo nimekubali rasmi tuhuma za ridhiwani kama kweli huyu alikua msaidizi wake
Kwamba humfahamu huyo bwana ni nani?wewe Marehemu wote ni classmates wako?