RIP kwa wanetu mliotutoka mngali bado vijana wadogo kabisa

RIP kwa wanetu mliotutoka mngali bado vijana wadogo kabisa

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,437
Habari Wakuu
Katika Makuzi yetu. Utotoni Mtaani.
Shule ya Msingi. Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi!
Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao!
Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani tungefika pamoja!
Lakini Mungu ni Mkubwa!
Na Mapenzi yake ni Makubwa!
  1. My elder Bro (31 yrs)
  2. RIP Salama Musa (P/School)
  3. Juma Said (O level)
  4. Isaac Maheri (Chuo)
Sisi ni wa Mungu na kwake ni Marejeo yetu!
 
Habari Wakuu
Katika Makuzi yetu.... Utotoni Mtaani ....
Shule ya Msingi... Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi!
Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao!
Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani tungefika pamoja!
Lakini Mungu ni Mkubwa!
Na Mapenzi yake ni Makubwa!
  1. My elder Bro (31 yrs)
  2. RIP Salama Musa (P/School)
  3. Juma Said (O level)
  4. isaac Maheri (Chuo)
Sisi ni wa Mungu na kwake ni Marejeo yetu!
Pole sana. Isaac Maheri alisoma Masters UDSM?
 
Sisi ni wa Mungu na kwake ni Marejeo yetu
Naam naam , tu wasafiri na mwelekeo wetu ni kwa Mungu muumba wetu ndiko tunakorejea.

Sifa zote njema ziwe kwake , na tunashukuru sana kwa zawadi ya maisha aliyotuzawadia sisi na wenzetu walio tanguli kwenda hali wakiwa vijana wadogo na watoto wadogo na wote tuliowapenda, wajaliwe kukutana na Mungu mwenyezi katika milele yote.
 
Habari Wakuu
Katika Makuzi yetu. Utotoni Mtaani.
Shule ya Msingi. Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi!
Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao!
Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani tungefika pamoja!
Lakini Mungu ni Mkubwa!
Na Mapenzi yake ni Makubwa!
  1. My elder Bro (31 yrs)
  2. RIP Salama Musa (P/School)
  3. Juma Said (O level)
  4. Isaac Maheri (Chuo)
Sisi ni wa Mungu na kwake ni Marejeo yetu!
Umewaza Nini Mkuu!Mke wangu kipenzi(Hobokela Kategela).
 
Habari Wakuu
Katika Makuzi yetu. Utotoni Mtaani.
Shule ya Msingi. Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi!
Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao!
Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani tungefika pamoja!
Lakini Mungu ni Mkubwa!
Na Mapenzi yake ni Makubwa!
  1. My elder Bro (31 yrs)
  2. RIP Salama Musa (P/School)
  3. Juma Said (O level)
  4. Isaac Maheri (Chuo)
Sisi ni wa Mungu na kwake ni Marejeo yetu!
R.i.p CHAKUPEWA, unajua nini wewe ni mmoja ya watu walio ona potential ndani yangu.

Ulijituma sana darasani kipindii mwishoni mwishoni ukaanza kukonda na kuugua gafla....unajua nini bro ulikua na afya njema.

Uliugua gafla na ukafa mapema sana hata matunda ya husler zetu hayajaivaa.

Pumzika comrade.
 
Habari Wakuu
Katika Makuzi yetu. Utotoni Mtaani.
Shule ya Msingi. Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi!
Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao!
Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani tungefika pamoja!
Lakini Mungu ni Mkubwa!
Na Mapenzi yake ni Makubwa!
  1. My elder Bro (31 yrs)
  2. RIP Salama Musa (P/School)
  3. Juma Said (O level)
  4. Isaac Maheri (Chuo)
Sisi ni wa Mungu na kwake ni Marejeo yetu!
Umenikumbusha mbali sana ila naomba jamaa anisaheme huko alipo, maana alikuwa mpizani wangu katika mapambano ya demu kipindi iyo O level
 
Back
Top Bottom