RIP kwa wanetu mliotutoka mngali bado vijana wadogo kabisa

RIP kwa wanetu mliotutoka mngali bado vijana wadogo kabisa

Primary - STD IV kuna dogo alikuwa darasa jingine na sisi alifariki
OLevel - Form I jamaa alifariki
Chuo-Jamaa pia alifariki ndiyo alikuwa mwaka wa mwisho.
Job - Jamaa wa karibu naye alifariki.

M.A.P
 
Alfani bakari
Selemani mbegu
Abdalah Messi
Muddy muzungu
sekela addo
Na wengine wengi tunaowajua na tusiowajua
MUNGU AWAPE PUMZIKO LA AMANI
NJIA YETU SOTE NI MOJA
 
Back
Top Bottom