Pole sana. Isaac Maheri alisoma Masters UDSM?Habari Wakuu
Katika Makuzi yetu.... Utotoni Mtaani ....
Shule ya Msingi... Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi!
Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao!
Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani tungefika pamoja!
Lakini Mungu ni Mkubwa!
Na Mapenzi yake ni Makubwa!
Sisi ni wa Mungu na kwake ni Marejeo yetu!
- My elder Bro (31 yrs)
- RIP Salama Musa (P/School)
- Juma Said (O level)
- isaac Maheri (Chuo)
Naam naam , tu wasafiri na mwelekeo wetu ni kwa Mungu muumba wetu ndiko tunakorejea.Sisi ni wa Mungu na kwake ni Marejeo yetu
Umewaza Nini Mkuu!Mke wangu kipenzi(Hobokela Kategela).Habari Wakuu
Katika Makuzi yetu. Utotoni Mtaani.
Shule ya Msingi. Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi!
Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao!
Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani tungefika pamoja!
Lakini Mungu ni Mkubwa!
Na Mapenzi yake ni Makubwa!
Sisi ni wa Mungu na kwake ni Marejeo yetu!
- My elder Bro (31 yrs)
- RIP Salama Musa (P/School)
- Juma Said (O level)
- Isaac Maheri (Chuo)
R.i.p CHAKUPEWA, unajua nini wewe ni mmoja ya watu walio ona potential ndani yangu.Habari Wakuu
Katika Makuzi yetu. Utotoni Mtaani.
Shule ya Msingi. Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi!
Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao!
Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani tungefika pamoja!
Lakini Mungu ni Mkubwa!
Na Mapenzi yake ni Makubwa!
Sisi ni wa Mungu na kwake ni Marejeo yetu!
- My elder Bro (31 yrs)
- RIP Salama Musa (P/School)
- Juma Said (O level)
- Isaac Maheri (Chuo)
Umenikumbusha mbali sana ila naomba jamaa anisaheme huko alipo, maana alikuwa mpizani wangu katika mapambano ya demu kipindi iyo O levelHabari Wakuu
Katika Makuzi yetu. Utotoni Mtaani.
Shule ya Msingi. Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi!
Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao!
Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani tungefika pamoja!
Lakini Mungu ni Mkubwa!
Na Mapenzi yake ni Makubwa!
Sisi ni wa Mungu na kwake ni Marejeo yetu!
- My elder Bro (31 yrs)
- RIP Salama Musa (P/School)
- Juma Said (O level)
- Isaac Maheri (Chuo)
Nani huyo?Umenikumbusha mbali sana ila naomba jamaa anisaheme huko alipo, maana alikuwa mpizani wangu katika mapambano ya demu kipindi iyo O level