RIP kwa wanetu mliotutoka mngali bado vijana wadogo kabisa

Gone too young...gone too soon...!!!!
 
Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake tutarejea. Wapumzike kwa amani wapambanaji wenzetu.

Mitaa inawamiss, mapengo yao huwa yapo tu siku zote.
 
Uendelee kupumzika kwa amani rafiki yangu kipenzi Shakira Mpwapwa, kutoka Mtwara Girl's Sec.
Tumemaliza form 4, ukaenda kwenu Masasi kusubiri matokeo.

Tuko mkoani kusoma matokeo, baba yako anakuja kutupa habari kuwa umefariki usiku wa kuamkia siku ya matokeo.
Umeondoka mapema na bila kujua kama ulipata Div. A
Ugonjwa wa ini ndio umekuondoa.
 
1. Pumzika kwa Amani ZU (Standard 2) - Girl
2. Pumzika kwa Amani AT (Standard 6) - Girl
3. Pumzika Kwa Amani AS(11 years after Standard 7) - Girl
4. Pumzika kwa Amani MJ (Chuo Second Year) - Boy

Vifo vyao viliniumiza sana.

Ili kuendelea kuwakumbuka, ninakusudia kuanzisha foundation kwa ajili ya support kwa wazazi waliopoteza watoto wao ambao walikuwa na potential ya kuja kuwasaidia hapo mbeleni.

Unaionaje idea hii mdau?
 
Dah poleni
 
Mzuri
 
Kile kinachokumbukwa zaidi si mali, bali ni wema, upendo, na mchango wetu kwa jamii.
 
Kifo hutukumbusha kujiandaa kiroho, kimaadili, na hata kiuchumi kwa ajili ya familia na jamii.
 
Yaaap Kiongozi! Mimi nilisoma PGDSC pale Mathematics
Kifo cha Isaak kilitugusa wengi.. jamaa alikuwa rafiki wa wengi. Alisoma na ndugu yangu pale UDSM. Wakati wa uhai wake alikuwa mchangamfu sana na mwenye nidhamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…