1-Wanahabari si kwamba hawana taarifa.Ni aidha wanajipendekeza kwa kisingizio feki cha uzalendo kwa nchi au wamenyamazishwa kwa mlungula na vitisho.Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari wenzio tunaposema hakuna professionalism na uhuru wa habari nchini. Tunaomba ujitokeze tena utufafanulie hili.
Paskali unapaswa kumtag kabisa ili aje kutema madini hapa Pascal MayallaJana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari wenzio tunaposema hakuna professionalism na uhuru wa habari nchini. Tunaomba ujitokeze tena utufafanulie hili.
Uou can imagine jamii y watu tulio nao, wana ignore mambo ya msingi, mambo ya hovuo wanaypa kipao mbeleWatu hawajali. Nilipost jana kwenye kundi la wanazuoni nikauliza je, watu wanajali habari hizi siku hizi?
Hata wao hawakujali, maana hawakujibu.
Ukiona hivyo hakuna hicho kitu hata mimi sikioni nitaandika nini?Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari wenzio tunaposema hakuna professionalism na uhuru wa habari nchini. Tunaomba ujitokeze tena utufafanulie hili.
Chawa wa uchafuniUkiona hivyo hakuna hicho kitu hata mimi sikioni nitaandika nini?
Tatizo lakwaza je hiyo report inamnufaisha nani? Kama ni mwananchi wa kawaida vyombo vya habari havinufaiki sana na Wananchi wa kawaida kwenye kuuza habari zao kuliko matangazo wanayo pewa na wizara mbalimbali pamoja na serikali kwa ujumla. Kwa mfano gazeti la uhuru ukienda ofisi zote za serikali utalikuta nchi nzima sasa ikiandika habari zinazo husu ukiukwaji wa haki za binadamu na mara nyingi habari hizi zinaegemea upande wa serikali nani atakuwa mteja wake mkubwa. Ukitaka kujua kuwa usipo pata matangazo uwezi kuendesha vjombo cha habari, Chukulia Tanzania Daima la Mbowe lipo wapi1-Wanahabari si kwamba hawana taarifa.Ni aidha wanajipendekeza kwa kisingizio feki cha uzalendo kwa nchi au wamenyamazishwa kwa mlungula na vitisho.
2-Paskali ni m-CCM na serikali inaongozwa na CCM.Hawezi kujichoma na pasi ya moto jichoni.
Sasa hapo paskali hapo anahusika vipi mkuu ikiwa ripoti haikutolewa na vyombo vyovyote basi ujue ndio hivyo wenye mchi wameamua hivyo..Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari wenzio tunaposema hakuna professionalism na uhuru wa habari nchini. Tunaomba ujitokeze tena utufafanulie hili.
Tukiwa na wanahabari wote wana mitazamo uliyoiandika,twaaafaaa!Tatizo lakwaza je hiyo report inamnufaisha nani? Kama ni mwananchi wa kawaida vyombo vya habari havinufaiki sana na Wananchi wa kawaida kwenye kuuza habari zao kuliko matangazo wanayo pewa na wizara mbalimbali pamoja na serikali kwa ujumla. Kwa mfano gazeti la uhuru ukienda ofisi zote za serikali utalikuta nchi nzima sasa ikiandika habari zinazo husu ukiukwaji wa haki za binadamu na mara nyingi habari hizi zinaegemea upande wa serikali nani atakuwa mteja wake mkubwa. Ukitaka kujua kuwa usipo pata matangazo uwezi kuendesha vjombo cha habari, Chukulia Tanzania Daima la Mbowe lipo wapi
Wanabar Makada? ndio maana kwa sasa hivi Idhaa za Kiswahili za Kinataifa kama BBC, VOA, DWD na wengineo wanaendelea kuchukua Wakenya pekee.Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari wenzio tunaposema hakuna professionalism na uhuru wa habari nchini. Tunaomba ujitokeze tena utufafanulie hili.
Jiwe limezaa MAMA JIWE na bado tunaisoma namba.Jiwe part 2
Siyo twafa tayari tumekufa. Kila chombo cha habari kinafanya kazi kwa tahadhari kubwa ili kiwe karibu na ulajiTukiwa na wanahabari wote wana mitazamo uliyoiandika,twaaafaaa!
Tanzania ukiwatoa Chief Odemba na Kikeke hakuna waadishi wa habari wengine, wengine ni mafisadi tupu na matapeliJana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari wenzio tunaposema hakuna professionalism na uhuru wa habari nchini. Tunaomba ujitokeze tena utufafanulie hili.
Huwezi kuchukua majitu majinga kama ya hapa nchiniWanabar Makada? ndio maana kwa sasa hivi Idhaa za Kiswahili za Kinataifa kama BBC, VOA, DWD na wengineo wanaendelea kuchukua Wakenya pekee.
Ukisikia kuwa colonized mentally ndio huku sasa! Wao mambo wanayo penda kuandika ni ya akina Pdidy...!Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari wenzio tunaposema hakuna professionalism na uhuru wa habari nchini. Tunaomba ujitokeze tena utufafanulie hili.