Ripoti Kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018

We mpuuzi nin?Unataka watu wasijadili report ya ukaguzi wa hesabu za serikali?
 
Kuridhisha = satisfactory

Shaka = Doubtful...

Hawa wote wako level moja..

Ila kwa vile tu ukiwa ccm unakuwa kima..wanajiona wako safi.

CHADEMA wakiklia doubt wanaweza wazidi Nyie ambao mmeambiwa mnaridhish.

ZERO BRAINS
 
"Viongozi wa Kisiasa"; hawa ndio akina nani ambao CAG anabainisha kwamba hawana sheria inayo-guide terminal benefits (mafao) zao ilhali walalahoi tunatungiwa kila aina ya sheria, kanuni, vikokotoo, n.k. tena kwa jasho letu halali?
Dhaifu Ndugai na genge lake lote, pale makao makuu na wale wa ccm., unavyoona hata polepole kanenepa unafiri kuna ukamilifu ndani yake ni udhaifu tu mkuu.
 
Riport inasemaje kuhusu ACT WAZALENDO imeunga mkono hoja za mlamba viatu yule msajili wa vyama au imemuumbua?
 
Kuridhisha = satisfactory

Shaka = Doubtful...

Hawa wote wako level moja..

Ila kwa vile tu ukiwa ccm unakuwa kima..wanajiona wako safi.

CHADEMA wakiklia doubt wanaweza wazidi Nyie ambao mmeambiwa mnaridhish.

ZERO BRAINS
Tunahitaji chama mbadala wa CCM ambacho kinafuata sheria za mapato na matumizi lakini ukiangalia hapa unakuta vyama karibu vyote ni walewale wapigaji
 
CHADEMA Kwani mnakwama wapi?

View attachment 1067463
Hii inatia matumaini na ni ushindi kwa katiba kwani kuna wapuuzi wachache walitaka kuwaaminisha umma CAG hana umuhimu nchini.

Wito sasa, wale wote wanaowatendea watanzania uchafu wapewe majukwaa wajieleze kwa nini wanatuingiza katika hasara sisi wananchi.

Na maelezo yao yasipoturidhisha tuwahukumu sawasawa na makosa yao.
Hii ni pamoja na kuwanyang'anya majukumu tuliyowapa kwa kutowapigia kula waende wakaendekeze wizi majumbani mwao.

Nguvu hii ya kutowachagua tunayoa ila huenda hatujaamua tu. Ni vyema sasa tukaamua na kuwaeleza ujinga wanaotufanyia umetosha ili wale wanaotupigania tuwape nafasi bila kuangalia vyama vyao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wenye taaluma zao naomba watufafanulie report hii ya CAG,kuna hatua katika kupambana na wizi wa Mali ya umma au la tuko nyuma sana,ningependa mihemuko ya vyama na chuki binafsi tuiweke kando,lengo ni kuitumia report hii kujisahihisha na kulijenga taifa letu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…