Pls MOD msitoe wala kuchanganya uzi huu kama
kweli mnataka tuseme kweli: Ni hivi Mangwear alibeba mzigo wa waziri wa
mambo ya Ndani ya Nchi. Na ilikuwa hivi alimeza
kete za kutosha kusafirisha toka SA kuja bongo
kwa bahati mbaya ndege aliyokuwa kapanga
kuondoka nayo ikahairisha safari. Hivyo mzigo ukaanza kumtesa na kufikia hatua ya
kumpasukia ndani ya tumbo na si kuwa alizidisha
kiasi cha dawa za kulevya katika matumizi. Ninayo clip inamuonyesha jinsi anavyopasuliwa na
kutolewa madawa hayo tumboni. Pia muhusika mwingine ni mmiliki wa Clauds Fm
kwani mara baada ya kifo cha Mangwear
walimtuma mtu wao kwenda kupindisha ukweli
kwa kudanganya uma kuwa kazidisha dozi na
kukana kuwa hakubeba mzigo wakubwa. Mkumbuke hata mara baada ya kutaka kusafirisha
mwili vigogo hao bado walitaka kusafirisha
madawa kwenye mwili wa marehemu. Nasema tena clip ipo MOD nasema ninachokijua
plz usifute
Labda ujanielewa vizuri, wala sijakuambia ukiwekwa kwenye mafungu kadhaa itakuwa ngumu kukamatwa.
Wanachofanya ni kununua kilo inategemea na shirika gani la ndege, mashirika mengine mwisho kuuza kilo ni kilo 60, mengine wanauza mpaka kilo 200.
Na katika kufunga mzigo wako box lisizidi kilo 30, kama umenunua kilo 150 funga box/begi, kila 30 kila moja hauwezi kwenda na kilo 150 umeifunga sehemu moja labda kwenye ndege za mizigo lakini siyo za abiria na hawa wauza sembe wanapanda ndege za abiria wanasafiri na mizigo yao.
Ki ukweli sasa hivi ukiingia China au Hong Kong unachekiwa mpaka kero, Hong Kong ndiyo noma zaidi na hivi pale hakuna viza watanzania tunaingia tu.
Lazima wakuhoji wakiona passport ya Tanzania na wanakuweka pembeni wakiwa na wasiwasi wanakuingiza chumbani wanakupa na chai au kahawa huku wanakuangalia kwenye camera, hauwezi kunywa chai au kahawa wakati umebeba sembe, lazima wakumalize.
China wao wakihisi kama umebeba sembe kuna maji yao wanakuambia kunywa haya maji lakini kama umemeza sembe utapata matatizo, kama haujabeba hauwezi kupata madhara kama umebeba utajuta.
Mzee Mwanakijiji huyo aliye namba moja Beka Ranger inasemekana ndiye anayefanya kazi na Ridhiwan Kikwete na wana undugu, Kikwete anamfahamu vizuri sana na ndiye aliyekuwa mchangiaji kwenye kampeni za Kikwete 2005. Hilo lipo wazi na linafahamika kuwa kikwete alichangiwa na Wauza madawa kwenye kampeni zake za urais 2005 na hana ubavu wa kuwakamata wauza unga. Tutapiga kelele kukamatwa hawakamatwi wanalindwa.
Mzee Mwanakijiji jiulize kwanini hii biashara ya madawa imeongezekana sana katika utawala wa Kikwete, think twice Mzee Mwanakijiji kwanini hawachukuliwi hatua au kukamatwa?
Beka Ranger amekuwa tajiri mno na kila mtu hapa Magomeni anamjua kwa utajiri wake
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.
Hivi wale akina Nzoa waliotaka kumbambikia mtoto wa Mengi Madawa wakipata melekezo na pesa toka kwa Manji, issue yao iliishia wapi? Walipofukuzwa kazi walipelekwa mahakamani?
Mkuu mimi muuza kahawa tu wala sina kazi zaidi ya hiyo.Hivi mkuu unafanya kazi airport ama huwa ni mitkasi tu unafuatilia?
Hata Dr Slaa aliporudi ulikuwa wa kwanza kumuona ukidai alizuiliwa asitumie VIP.
Unatia shaka sana miendendo yako mkuu.Tena ukizingatia na haya mambo ya sembe kupita airport kiubwete?
Taifa linaelekea kubaya. Baba Ridwiwan chukua hatua, Tanzania inaangamia
Mkuu Kimbunga,Mkuu Ritz suala la kunywa chai ni noma. Kuna kijana mmoja mitaa ya nyamwezi alikuwa amebeba sembe toka shamba (enzi hizo) alipofika airport wakamshuku wakampumzisha maeneo wakampa chai eti anywe, weee kijana alikataa katakata ikabidi wakae naye hadi akazitoa kete kwa njia ya KAWAIDA.
Soma mada iliyoko mbele yako na uielewe.Hii issue ya sembe ni ya serikali na chama tawala,period!
Niliwahi kusema rais wenu mdini mkabisha,sasa ili awanyamazishe chadema "chama cha wakristo",bai akasema listi aliyonayo ya wauza madawa ni maaskofu.
Mmeifikisha hii nchi pabaya sana.
Mkuu Ritz Wewe Binafsi unaonaje? Polisi kudil tu na CDM na kuacha wabunge wa CCM na matajir kupga dil za drugs..!?Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.
............Ikumbukwe kuwa mwaja jana Januari mtoto wa aliyekuwa afisa wa Benki Kuu Amatus Liyumba aitwaye Morine alikamatwa na wenzake huko Lindi akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya wenye thamani ya zaidi ya dola bilioni 9!
................Niandikie: mwanakijiji@jamiiforums.com