Ripoti: Polisi ya Tanzania yashika namba 9 kwa Uweledi Afrika. Kenya haipo popote

Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.

Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1767202964836352353?t=ihB0XlMJQnrIOOJVjxH8Dg&s=19

My Take
Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea muwape kiki kwa.kuwapiga mabomu lakini wameachwa wamepoteana 😁😁

Ungesema weledi wa mikono ya chuma angalau angalau ningemielewa ukiangalia hapo yupo mali,Burkinabee,Niger,tiiiiziii hao wote hawacheki na nyau,Wow,kuku wala bata.Kwakuwa kwetu tuliyaona awamu ileeee pamoja na misimu yote ya chafuzi,huwo weledi umeshuka kutoka mbinguni leo,teka kamata poteza mara hii tumesahauuu,tumesahaulishwaaaa amaaa😅
 
Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.

Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.
Labda walichukua sample wakiwa mazoezini huko, lakini ukweli polisi wetu ni rubbish

Ziara ya Mwenyezi wetu yenyewe imewaanika kuhusika kwenye utekaji wa raia! Rushwa kwa polisi usalama barabarani ni kama uji na mgonjwa. Kuna malalamiko mengi tu ya polisi kubambikia watu kesi bado mtu ukipelekwa polisi huko kituoni ni majanga matupu!
Mambo madogo hayo mbona
 
Labda walichukua sample wakiwa mazoezini huko, lakini ukweli polisi wetu ni rubbish

Rubbish kulinganisha na polisi wa wapi?
 
Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.

Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1767202964836352353?t=ihB0XlMJQnrIOOJVjxH8Dg&s=19

My Take
Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea muwape kiki kwa.kuwapiga mabomu lakini wameachwa wamepoteana 😁😁

Nilisikia pia jwtz ni la sita kwa ubora duniani 🤣
 
Polisi hawa hawa wanaochukua elfu 5 Au elfu 3 kila gari inapopita? Kumbe huu Ndio weledi
 
ccm imehonga. wenye huo mtandao ni maniga wenzetu. mniga mbele yaa pesa anaachia kila kitu.
 
Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.

Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1767202964836352353?t=ihB0XlMJQnrIOOJVjxH8Dg&s=19

My Take
Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea muwape kiki kwa.kuwapiga mabomu lakini wameachwa wamepoteana 😁😁

Je tunaweza kuitumia hii takwimu kwenye kampeni za uchaguzi zinazokuja?
Maana raia wengi wanaelewa kuwa polisi ni miongoni mwa Jumuiya za Chama
 
Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.

Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1767202964836352353?t=ihB0XlMJQnrIOOJVjxH8Dg&s=19

My Take
Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea muwape kiki kwa.kuwapiga mabomu lakini wameachwa wamepoteana 😁😁

Huu ni uchawa...
 
Back
Top Bottom